balibabambonahi
JF-Expert Member
- Apr 5, 2015
- 15,771
- 14,294
Pole Sana.
Kama hana EQ fahamu tu atakusumbua Sana
yaani huyu mwanamke ni pasua kichwa, ana kiburi hatari nilishapiga sana hadi nimechoka, mwenye uzoefu na mambo haya tafadhali aniokoe
Ulifurhia kuoa mtoto wa tajiri,ukafurahi ulivyompora yule jamaa.Inabidi ujue kunguru hafugiki.Ebhana eeeh si ulisema BORA SHAPE TABIA MTAVUMILIANA....uvumilivu umekushinda??¿
Naam, ampandishe cheo tu, vinginevyo atapandishwa yeye cheo cha kuitwa marehemuampungizie majukumu then ampandishe cheo awe mke mkubwa 😀 😀
Equaliser?Pole Sana.
Kama hana EQ fahamu tu atakusumbua Sana
Angalia usiue tuyaani huyu mwanamke ni pasua kichwa, ana kiburi hatari nilishapiga sana hadi nimechoka, mwenye uzoefu na mambo haya tafadhali aniokoe
Muolee mke mwenziewakuu nina mke kiburi sana,
Kila ninapo muelekeza afanye kazi fulani basi hupuuza na kukaushia tu.
Yaani hadi nimechoka nahisi ananidharau hivi sasa sijui cha kufanya sijui nimtimue au nifanyeje?
Naomba ushauri wenu wakuu nimfanyeje mwanamke kama huyu?
Hahah, umeoa akiwa na miaka mingapi huyo mkeo?.mimi 32 yeye 19
Kayakanyaga? 😄Umeoa mtoto wa 2005, kaz unayo
Kama unashindwa kuwekana naye sawa au kuachana naye, fanya kama afande Saba Sita anavyofanya sasawakuu nina mke kiburi sana,
Kila ninapo muelekeza afanye kazi fulani basi hupuuza na kukaushia tu.
Yaani hadi nimechoka nahisi ananidharau hivi sasa sijui cha kufanya sijui nimtimue au nifanyeje?
Naomba ushauri wenu wakuu nimfanyeje mwanamke kama huyu?
KafanyajeKama unashindwa kuwekana naye sawa au kuachana naye, fanya kama afande Saba Sita anavyofanya sasa
Kajenga kaburi, juzi kanunua jeneza sasa anaandaa wasifu wake😅Kafanyaje
Nimepitia comment kadhaa hapo juu. Tayari kuna ushauri mzuri sana. Pia umeulizwa ndoa ina muda gani? Badala ya kuhangaikia kuelewa wanaochangia wanasemaje, bado unakuja kulalama. Yaani kwa nwendo huo utapasuka tu kichwa maana na wewe ni pasua kichwa. Mmekutanayaani huyu mwanamke ni pasua kichwa, ana kiburi hatari nilishapiga sana hadi nimechoka, mwenye uzoefu na mambo haya tafadhali aniokoe
Duh..mimi 32 yeye 19
Wakati unaoa ulikuja kuomba ushauri?wakuu nina mke kiburi sana,
Kila ninapo muelekeza afanye kazi fulani basi hupuuza na kukaushia tu.
Yaani hadi nimechoka nahisi ananidharau hivi sasa sijui cha kufanya sijui nimtimue au nifanyeje?
Naomba ushauri wenu wakuu nimfanyeje mwanamke kama huyu?
Bwege hiloNimepitia comment kadhaa hapo juu. Tayari kuna ushauri mzuri sana. Pia umeulizwa ndoa ina muda gani? Badala ya kuhangaikia kuelewa wanaochangia wanasemaje, bado unakuja kulalama. Yaani kwa nwendo huo utapasuka tu kichwa maana na wewe ni pasua kichwa. Mmekutana
😅🚮Bwege hilo
Umemshauri vizuri. Ila kusema apunguze ukali nakukatalia. Hawa viumbe bila kuwa na "voice of command" ili atambue nafasi yako na uwepo wako utajikuta wewe ndo umeolewa. Enzi za kuishi na mwanamke km ndugu (mwili mmoja) ziliisha kitambo, sahivi tunaishi nao km washikaji tu, na ndo maana visa na mifarakano haishi. Wazee wetu waliishi na wake zao kwa raha sn, but now vice versa is true.Ishi nae kwa akili bro...jaribu kukaa nae muongee kiutu uzima muulize shida ni nini.
Halafu punguza mfumo dume, unaonekana ni mkali sana kwa mkeo.