Ulimkuta bikira?wakuu nina mke kiburi sana,
Kila ninapo muelekeza afanye kazi fulani basi hupuuza na kukaushia tu.
Yaani hadi nimechoka nahisi ananidharau hivi sasa sijui cha kufanya sijui nimtimue au nifanyeje?
Naomba ushauri wenu wakuu nimfanyeje mwanamke kama huyu?
Kama ni hivyo ashapata mtoto mwenzie poleemimi 32 yeye 19
Una umri gani mkuu?wakuu nina mke kiburi sana,
Kila ninapo muelekeza afanye kazi fulani basi hupuuza na kukaushia tu.
Yaani hadi nimechoka nahisi ananidharau hivi sasa sijui cha kufanya sijui nimtimue au nifanyeje?
Naomba ushauri wenu wakuu nimfanyeje mwanamke kama huyu?
Hah Kaka mbona unamtusi MKE wa mwenzio.Pole Sana.
Kama hana EQ fahamu tu atakusumbua Sana
🤣🤣🤣aiseeKajenga kaburi, juzi kanunua jeneza sasa anaandaa wasifu wake😅
Mfyuumimi 32 yeye 19
Samahani naomba niulize.wakuu nina mke kiburi sana,
Kila ninapo muelekeza afanye kazi fulani basi hupuuza na kukaushia tu.
Yaani hadi nimechoka nahisi ananidharau hivi sasa sijui cha kufanya sijui nimtimue au nifanyeje?
Naomba ushauri wenu wakuu nimfanyeje mwanamke kama huyu?
🤣🤣Mfyuu
maelezo yako hayatoshi ili tukupe ushauri unaofaa,toa maelezo vizuri juu ya hilo tatizowakuu nina mke kiburi sana,
Kila ninapo muelekeza afanye kazi fulani basi hupuuza na kukaushia tu.
Yaani hadi nimechoka nahisi ananidharau hivi sasa sijui cha kufanya sijui nimtimue au nifanyeje?
Naomba ushauri wenu wakuu nimfanyeje mwanamke kama huyu?
umri tu mke umenichosha
Peleka moto hutoona jeuri tena 🤣🤣wakuu nina mke kiburi sana,
Kila ninapo muelekeza afanye kazi fulani basi hupuuza na kukaushia tu.
Yaani hadi nimechoka nahisi ananidharau hivi sasa sijui cha kufanya sijui nimtimue au nifanyeje?
Naomba ushauri wenu wakuu nimfanyeje mwanamke kama huyu?
Hyo jeuri alianza liniwakuu nina mke kiburi sana,
Kila ninapo muelekeza afanye kazi fulani basi hupuuza na kukaushia tu.
Yaani hadi nimechoka nahisi ananidharau hivi sasa sijui cha kufanya sijui nimtimue au nifanyeje?
Naomba ushauri wenu wakuu nimfanyeje mwanamke kama huyu?
Tayari muda wa maigizo umeisha,hapo ni true colors tu,utaziona zote...wakuu nina mke kiburi sana,
Kila ninapo muelekeza afanye kazi fulani basi hupuuza na kukaushia tu.
Yaani hadi nimechoka nahisi ananidharau hivi sasa sijui cha kufanya sijui nimtimue au nifanyeje?
Naomba ushauri wenu wakuu nimfanyeje mwanamke kama huyu?
Wakati unamtongoza tulikwambia ukasema huwezi kuacha Pisi kali, Tabia mtavumiliana.wakuu nina mke kiburi sana,
Kila ninapo muelekeza afanye kazi fulani basi hupuuza na kukaushia tu.
Yaani hadi nimechoka nahisi ananidharau hivi sasa sijui cha kufanya sijui nimtimue au nifanyeje?
Naomba ushauri wenu wakuu nimfanyeje mwanamke kama huyu?
Mchunie..funga mdomo....usiongee chochote...wakuu nina mke kiburi sana,