Nina mke mjeuri sana. Naombeni mnishauri

Mambo ya Mapenzi mkishindwa malizana nyie wawili mliobahatika kuyaanzisha hakuna Masada tena Nje ya hapo haya yakutafutaga ushauri Kwa watu mbalimbali ni kujipa vijitumaini mfu na kupunguza vijimzigo mfu pia ndani ya Mtima.
 
Kaburi la Mzazi mwenza uliliona?

Kwann vijana hamuhudhurii vikao vya wanaume??

Matatizo mnajitakia wenyewe nyie alafu unakuja kujitamba hapa kwa huu upuuzi
 
mimi 32 yeye 19
Mkuu huyo bado mtoto unatakiwa uende mdogomdogo. Mim nilioa mwenye miaka 18 alikua hivyo. Sasa amefikisha 24 na amekua mke bora sana. Kama sio mzinifu mengine yatakaa sawa taratibu. Ndoa zinazodumu nyingi kuna mmoja kakubali kuwa mpuuzi. Amini atabadilika mkuu. Tia mimba fasta kwanza
 
Wanawake wanawasumbua sana wanaume wanaoishi nao kwa namna wa ubabe, kuwakazia mno!, na kitowajali isipokuwa wanapotaka kuwatomba tu. Vinginevyo kama ni mchaga unalo
 
hapana sina gubu,,,dem huyu anazingua sijui atakuwa atakuwa anarubuniwa na washikaji hata sijui,,,na tumefunga ndoa kabisa ya kiserikali
Anakuona wewe ni lijinga kufunga naye ndoa wakati kuna wana wanamla bure.

Acheni kufunga funga ndoa na malaya au wake za watu.
 
Wewe dawa yako inachemka, wala usijione Mjanja. Huyo singo mama siku akibadilika usije hapa kulia lia.
 
Ishi nae kwa akili bro...jaribu kukaa nae muongee kiutu uzima muulize shida ni nini.

Halafu punguza mfumo dume, unaonekana ni mkali sana kwa mkeo.
Awe na mfumo jike acha ufara
 
Hujachoka na wala hujahisi kama anakudharau maana kama kweli umechoka na unahisi anakudharau basi ungelishamrudisha kwao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…