Nina mpango wa kuhamia Arusha, wenyeji naomba majibu ya maswali yangu machache

Shujaa-zamani

Member
Joined
Apr 26, 2022
Posts
12
Reaction score
4
Hamjambo!

Nitaenda nchi la Tanzania kukaa katika eneo la mto wa Usa. Mini ni mtu mweusi na mwanaume. Ninataka kuunganisha na jamii ya Usa. Je, kuna vitambaa amavyo ninapaswa kuvaa? Nikitaka vitambaa vilivyotengenezwa, nitanunua wapi?

Nitapofika ninaweza kupata wapi vikundi vya kijamii, ni maeneo gani bora ya kukutana na watu? Zaidi ya hayo, ni wapi chakula bora na pombe?

Hapa katika nchi la Amerika, Ninanyanyua vyuma na kukimbia naweza kupata wapi vikundi hivi ili niwe imara?

Mwisho, ninataka kulinda vitu vyangu. Je, nitafanya nini na nitanunua nini kuvilinda vyangu?

Pole kwa Kiswahili changu. Ninajifunza!

Asante.

P.S. Maswali haya ni kwa mji wa Arusha pia! Kwa hivyo, ukijibu kwa Arusha utasema ni 'majibu kwa Arusha'. Asante.
 
Karibu sana tanzania karibu sana arusha.....mimi ni mkazi wa usa ...tukianza na vitambaa sidhani kama kuna utamaduni wa kuvaa kitaambaa au aina moja ya nguo ni wewe na uhuru wako tu wa mavazi ....sehemu nzuri za kusocialize zipo ikiwemo vinywaji,chakula ,na sehemu za mazoezi kama unavyopenda hata vikundi vya mazoezi vipo ondoa shaka ....pia katika usalama wa vitu vyako ni kuongeza umakini tu
 
majibu kwa arusha

mkuu karibu sana , hapo USA river umeshapata makazi?
 
Usa ni pazuri, kwa hali ya hewa na mazingira kwa ujumla. Huduma zote muhimu zipo kama supermarkets, recreational areas na gym. Pia mazingira yake yanaruhusu hiking, jogging nakadhalika. Pia hakuna kelele kama Arusha mjini. Ila ni karibu tu.
 
Usa ni pazuri, kwa hali ya hewa na mazingira kwa ujumla. Huduma zote muhimu zipo kama supermarkets, recreational areas na gym. Pia mazingira yake yanaruhusu hiking, jogging nakadhalika. Pia hakuna kelele kama Arusha mjini. Ila ni karibu
Mahali kufanya mazoezi yanaitwa nani na yuko wapi? Una link au picha utanionyesha?
 
Karibu sana tanzania karibu sana arusha.....mimi ni mkazi wa usa ...tukianza na vitambaa sidhani kama kuna utamaduni wa kuvaa kitaambaa au aina moja ya nguo ni wewe na uhuru wako tu wa mavazi ....sehemu nzuri za kusocialize zipo ikiwemo vinywaji,chakula ,na sehemu za mazoezi kama unavyopenda hata vikundi vya mazoezi vipo ondoa shaka ....pia katika usalama wa vitu vyako ni kuongeza umakini tu
Unafanya kazi gani katika Usa? Kwa hivyo, una mapendekezo kwa Gyms, migahawa, na mahali kukutana na Watu? Ni muhimu nitafuata watu wanaokimbia na kuinua uzito.
 
Wewe ni mwenyeji sababu tayari unaishi eneo husika, tatizo ni kwamba haujapata connection na wahusika au marafiki wazuri na salama.

Eneo la mto usa kuna vikundi vingi vya kijamii kama jogging clubs, vikundi vya usafi nk, tatizo ni jinsi ya kujua vipo wapi.

Issue ya vitambaa ukipenda kuonekana tofauti labda kwa mavazi, nenda hapo makao mapya jirani na stendi ndogo kuna nguo za vitambaa kama zile za kimasa, ukivaa unaweza kuonekana tofauti.
 
Je, una ushauri wowote wa kutafuta makundi haya?
 
USA kule hakunaga wizi usalama n wa uhakika wameru wakijua tu n mwiz wanakufutilia mbali kuhusu nguo kuna mashuka ya kimasai haya huwa tunapiga Kuhusu vikundi tafuta ata vikundi kuna clubs nyingi tu usalama barabaran, USAF, mazingira NK
 
Sielewi... sema tena lakini na maneno rahisi. Asante sana
 
Hamjambo!

Nitaenda nchi la Tanzania kukaa katika eneo la mto wa Usa. Mini ni mtu mweusi na mwanaume. Ninataka kuunganisha na jamii ya Usa. Je, kuna vitambaa amavyo ninapaswa kuvaa? Nikitaka vitambaa vilivyotengenezwa, nitanunua wapi?

Nitapofika ninaweza kupata wapi vikundi vya kijamii, ni maeneo gani bora ya kukutana na watu? Zaidi ya hayo, ni wapi chakula bora na pombe?

Hapa katika nchi la Amerika, Ninanyanyua vyuma na kukimbia naweza kupata wapi vikundi hivi ili niwe imara?

Mwisho, ninataka kulinda vitu vyangu. Je, nitafanya nini na nitanunua nini kuvilinda vyangu?

Pole kwa Kiswahili changu. Ninajifunza!

Asante.

P.S. Maswali haya ni kwa mji wa Arusha pia! Kwa hivyo, ukijibu kwa Arusha utasema ni 'majibu kwa Arusha'. Asante.
Habari yako, karibu sana Arusha jiji zuri la kitalii lenye hali ya hewa nzuri.
 
Kuhusu mvinyo wa kienyeji karibu ngarasero ila ukijakunywa beba pesa ambayo itatosha kwa muda huo usibebe na ziada. Na vitu vyako vya thamani wacha nyumbani
 
Back
Top Bottom