Nimeweka mikakati yangu ya kutaka kuoa mwaka huu mwezi wa 11 ila tangu nimeweka wazi hili suala wadada wazuri wazuri ndo kama wamefunguliwa machoni mwangu haipiti siku sijakutana na mdada mzuri na nikimsemesha tunaongea vizuri.
Mawazo yanaenda kubadilika kabisa hawa wadada sijui walikua wapi siku zote. Vijana Mungu atupe uvumilivu na subira, kabla hatujachagua tuhakikishe tumezunguka vyakutosha na tumejiridhisha.