Nina mpango wa kuoa mwishoni mwa mwaka huu ila...

Nina mpango wa kuoa mwishoni mwa mwaka huu ila...

Mkuu kwa mentality hii usioe tu. Hujakomaa kifikra bado. Unafikiri wazuri wanaishaga. Kuna pini ukiwemo ndani ya ndoa utazifuma huko nje balaa.

Hujataka kuoa bado. Afu the devil anajua what you deserve hivyo siku zote atataka kukuyumbisha balaa. Hauko tayari kusettle wewe kama bado macho yanaangaza acha tu. Siku matukio yakikufika kooni mwenyewe utaibuka na kijuso mmoja huyo..hutajali hana tako, sijui chunusi, sijui sura ikoje..utaopoa tu.

Moyo ukishachoka..afu ukaja kupata pumziko flani ivi halooo mwenyewe zizini tuliii
 
Inaonekaba bado kijana mdogo, usioe utajutia ndani ya muda mfupi. Subiri uwaone warembo wote hadi utakapoona urembo haufai ndo uoe
 
Back
Top Bottom