acha kabisa hii ndo mbaya kuliko zoteeeTena usiombe ukapata mtu sahihi zaidi baada ya kuoa
AminaMshinde shetani mkuu utafanikiwa
Ndoa inaleta utulivu ameen kila kitu utaona kawaida ukipata na watoto akili itakuwa kubwa ndo hapo utapambana sana ingia kweny ndoa kama upo tayar hizo obstacles ni za kawaida ndo maisha ya ukubwaAmina
tuombe uzima ,,ahsante kwa ushauriNdoa inaleta utulivu ameen kila kitu utaona kawaida ukipata na watoto akili itakuwa kubwa ndo hapo utapambana sana ingia kweny ndoa kama upo tayar hizo obstacles ni za kawaida ndo maisha ya ukubwa
[emoji16][emoji16][emoji16]Tena usiombe ukapata mtu sahihi zaidi baada ya kuoa
Hakika,ajiangalie upyaTamaa mbaya...
Oa acha uzwazwaWe oa uzuri wa nje tu tuko hapahapa kukushauri ukianza kupihwa matukio[emoji3][emoji3][emoji4]
Nimeweka mikakati yangu ya kutaka kuoa mwaka huu mwezi wa 11 ila tangu nimeweka wazi hili suala wadada wazuri wazuri ndo kama wamefunguliwa machoni mwangu haipiti siku sijakutana na mdada mzuri na nikimsemesha tunaongea vizuri.
Mawazo yanaenda kubadilika kabisa hawa wadada sijui walikua wapi siku zote. Vijana Mungu atupe uvumilivu na subira, kabla hatujachagua tuhakikishe tumezunguka vyakutosha na tumejiridhisha.