Nina mpango wa kusilimu ili nioe mwanamke wa kiislam, naombeni ushauri kabla sijachukua maamuzi

Kijana mmoja wa kisukuma nilikuwepo

Ila kwa jinsi ninavyompenda rafiki yangu YESU KRISTO, ambaye hata hunijia na kunipa kesho yangu itakuwaje dah huenda hapo nimechemka
 
Kijana mmoja wa kisukuma nilikuwepo

Ila kwa jinsi ninavyompenda rafiki yangu YESU KRISTO, ambaye hata hunijia na kunipa kesho yangu itakuwaje dah huenda hapo nimechemka
Ni vizuri sote ni wa Mungu japo kilamtu na Imani yake ila lengo letu ni lile lile
 
Fact kabisa ila ukweli ni kuwa dini tunarithi wengi tuko kwaajili tumezaliwa humo wachache ambao wapo kwenye dini Kwa kufata ukweli na hata huo ukweli ukiuchunguza had unakufa unaweza usiujue

But sio sahihi kubadili sabbu ya ndoa
 
Mimi nikiamka kwenda kanisan wewe unaamka kwenda msikitin? Mpokee BWANA YESU KRISTO utashangaa sana utajua kumbe ulichelewa
Shida sana hii 😃
Kuamini kunakitu ni. Bora kuliko kingine ambacho wakat vipo mm nawewe hatukuwepo
 
Ukitaka kusilimu kwa ajili ya mwanamke tu hio sio sawa. Silimu kwa sababu ya kuaminj uislam ndio dini ya haki. Mke baadae
Hapo kwenye bold mnaposema dini ya HAKI mnamanisha HAKI gani,?!

Na ipi isiyo dini ya HAKI?!
Na kama uislamu.. ni dini ya haki, mbona mtume alimuingilia binti wa miaka 9?! Je, hito ni HAKI?!

Maana ya haki.. kwa mujibu wa kamusi...
Haki ndiyo utaratibu unaotakiwa katika mafungamano yoyote kwa kuwa ni adili la msingi la utu linalotufanya tumpatie mwingine anachostahili..
 
Ukisilimi amko la mwanzoni kbsa ni kuitikadia au kuamini Kuna Allah ni mungu na Muhammad mjumbe wake. Kwahy kabla hajaifikia Hy ndoa atakua kashaamini man hayo maneno atayasema yeye mwenyewe bla kulazimishwa
 
Kuoa wanawake wengi mpaka uwe muislamu mbona sisi wapagani tunaoaa tuuu hata 7
 
Shida sana hii 😃
Kuamini kunakitu ni. Bora kuliko kingine ambacho wakat vipo mm nawewe hatukuwepo
Usiogope mwenzagu Amin tufanye jambo, tufanye kitu kizuri

YESU ni MWAMINIFU atatubariki sana
 
Hivi unajua kama Sheria ya Tz ya mwaka 71 inaruhusu Binti wa miaka 14 kuolewa, Tena Kwa idhini ya Mahakana?
 
Hivi unajua kama Sheria ya Tz ya mwaka 71 inaruhusu Binti wa miaka 14 kuolewa, Tena Kwa idhini ya Mahakana?
Najua
Ila sijaongelea mambo ya sheria za tz na hiyo miaka 14 jikite kwenye hoja yangu hapo juu.
 
Unataka kubadili dini na hutaki wafia dini tukushauri, baki hukohuko huku hatutaki vilaza.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…