Nina mpango wa kusilimu ili nioe mwanamke wa kiislam, naombeni ushauri kabla sijachukua maamuzi

Nina mpango wa kusilimu ili nioe mwanamke wa kiislam, naombeni ushauri kabla sijachukua maamuzi

Badilisha sababu ya kupenda uislam
Mm nimelelewa na pande zote lakn ukweli uislam ni mzuri sana kuanzia maishawanayoishi namna wanavoishi na watu walivo na heshima na hata namna mafundisho ya mienendo ya namna ya Kuishi

Natamni kijana mmoja angekuwa n mawazo kma Yako aisee ningempa Dunia yote wengine tungewahamisha mkatafute pa Kuishi 😄😄😄
Kijana mmoja wa kisukuma nilikuwepo

Ila kwa jinsi ninavyompenda rafiki yangu YESU KRISTO, ambaye hata hunijia na kunipa kesho yangu itakuwaje dah huenda hapo nimechemka
 
Kijana mmoja wa kisukuma nilikuwepo

Ila kwa jinsi ninavyompenda rafiki yangu YESU KRISTO, ambaye hata hunijia na kunipa kesho yangu itakuwaje dah huenda hapo nimechemka
Ni vizuri sote ni wa Mungu japo kilamtu na Imani yake ila lengo letu ni lile lile
 
Mimi kama muislamu labda nikuambie tu

1. Usije ukabadili dini kwa sababu yoyote ile ispokuwa umejua ukweli umo wapi meaning umefanya uchunguzi wako na ukajiridhisha kwamba sasa nimejua haki ilipo kwa uthibitisho wa wazi hivyo nabadili dini nikiwa na uhakika .

2. Unaweza kubadili dini lakini kama haufanyi ibada basi wewe hauhesabiki kama muislamu (na hapa nikazie ukiacha hata swala moja kwa siku kwa makusudi kabisa UMETOKA NDANI YA UISLAMU) unakuwa kundi moja na wasiokuwa waislamu na HAKUNA NDOA YA MWANAUME ASIYE MUISLAMU NA MWANAMKE MUISLAMU.

3. Usijidanganye kwamba maswala ya talaka na mgawanyo wa mali uta ku favour mwanaume pindi mambo yasipoenda sawa , watu wengi hapa hawana elimu ndiyo maana wanadhulumiwa , KAMA MKE ANA MKONO WAKE KWENYE MALI basi jua mtagaw na utatakiwa kumuhudumia kwa kila kitu [ispokuwa tendo] mpaka atakapomaliza Eda yake .

N.B
NIKAZIE UKIBADILI DINI KWA SABABU YOYOTE ILE ISPOKUWA YA KUUJUA UKWELI BASI HIYO SABABU NI BATILI.
Fact kabisa ila ukweli ni kuwa dini tunarithi wengi tuko kwaajili tumezaliwa humo wachache ambao wapo kwenye dini Kwa kufata ukweli na hata huo ukweli ukiuchunguza had unakufa unaweza usiujue

But sio sahihi kubadili sabbu ya ndoa
 
Mimi nikiamka kwenda kanisan wewe unaamka kwenda msikitin? Mpokee BWANA YESU KRISTO utashangaa sana utajua kumbe ulichelewa
Shida sana hii 😃
Kuamini kunakitu ni. Bora kuliko kingine ambacho wakat vipo mm nawewe hatukuwepo
 
Ukitaka kusilimu kwa ajili ya mwanamke tu hio sio sawa. Silimu kwa sababu ya kuaminj uislam ndio dini ya haki. Mke baadae
Hapo kwenye bold mnaposema dini ya HAKI mnamanisha HAKI gani,?!

Na ipi isiyo dini ya HAKI?!
Na kama uislamu.. ni dini ya haki, mbona mtume alimuingilia binti wa miaka 9?! Je, hito ni HAKI?!

Maana ya haki.. kwa mujibu wa kamusi...
Haki ndiyo utaratibu unaotakiwa katika mafungamano yoyote kwa kuwa ni adili la msingi la utu linalotufanya tumpatie mwingine anachostahili..
 
Ukisilimi amko la mwanzoni kbsa ni kuitikadia au kuamini Kuna Allah ni mungu na Muhammad mjumbe wake. Kwahy kabla hajaifikia Hy ndoa atakua kashaamini man hayo maneno atayasema yeye mwenyewe bla kulazimishwa
 
Kuoa wanawake wengi mpaka uwe muislamu mbona sisi wapagani tunaoaa tuuu hata 7
 
Hapo kwenye bold mnaposema dini ya HAKI mnamanisha HAKI gani,?!

Na ipi isiyo dini ya HAKI?!
Na kama uislamu.. ni dini ya haki, mbona mtume alimuingilia binti wa miaka 9?! Je, hito ni HAKI?!

Maana ya haki.. kwa mujibu wa kamusi...
Haki ndiyo utaratibu unaotakiwa katika mafungamano yoyote kwa kuwa ni adili la msingi la utu linalotufanya tumpatie mwingine anachostahili..
Hivi unajua kama Sheria ya Tz ya mwaka 71 inaruhusu Binti wa miaka 14 kuolewa, Tena Kwa idhini ya Mahakana?
 
Hivi unajua kama Sheria ya Tz ya mwaka 71 inaruhusu Binti wa miaka 14 kuolewa, Tena Kwa idhini ya Mahakana?
Najua
Ila sijaongelea mambo ya sheria za tz na hiyo miaka 14 jikite kwenye hoja yangu hapo juu.
 
Back
Top Bottom