Nina mpango wa kuuza mali zangu baadhi nijikite kwenye Biashara

atafute pisi moja ya kueleweka atulie nayo
 
Hongera mkuu kwa kuonesha jitihada wengine hulalamika wazazi hawawawezeshi wakati hata jitahada za kuwezeshwa hawaoneshi
 
Naunga mkono hoja......mtu husaidia na chake sio rahisi kupata msaada wakati huna chochote
 
Biashara haina mtaji maalum anza na ulicho nacho, ukianza na kidogo hasara itakuwa ndogo ukianza na kikubwa ukipata hasara itakuwa kubwa japo atutarajii upate hasara ila kwa anaenza huwa inatokeaga

Ushauri wa bure,,,usiuze kiwanja pambana uweke flem hata mbili ufanyie biashara kwako kama ni mjini
 
kama una plan nzuri ,endelea tu mkuu, kimfaacho mtu chake
lakini mbona msimu wa mazao bado?
 
YOU ARE RESPONSIBLE FOR YOUR LIFE 100%
kitu ambacho nimewahi kujifunza in a hard way ni kwamba, no one is going to save you. Binafsi, kama umeamua hivyo ni sawa lakini zingatia yafuatayo 1. Its okay to take risk but calculated risk 2. Work smart sana, kusanya informations za kutosha ili ukiingiza hela sehemu uwe na uhakika hata wa break even kwanza, 3. Burning time, jiandae sio ukianza tu utaanza kupata faida kuna karun flan hvi kakukukaribisha kwenye biashara usikachkulie poa kapo. 4. Its going to be harder than you expected.

Thanks mkuu
 
Kuuza kiwanja sio tatizo. Tatizo nikufanya biashara ambayo bei zake nielekezi hasa ukiwa na mtaji mdogo. Kulia ni nje nje maana profit margin uwa ni ndogo sana.
 
Biashara sio option ya kufeli Mamb mengine uko... nakushauri endelea kutafuta ajira ww, biashara sio mahala kwako..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…