Nina mpango wa kuuza mali zangu baadhi nijikite kwenye Biashara

Brother, what i can tell you.
Kile unachoamini ndio mafanikio yako.
Weka juhudi,nidhamu ya kila shilingi,acha starehe,achana na wanawake wa kuokota,Mwombe Mungu kila siku katika mambo yako yote mtangulize Mungu atakufanikisha.
Nikutakie mafanikio mema.
atafute pisi moja ya kueleweka atulie nayo
 
Usije kulaumu madon wa ukoo wakati huna pa kuanzia nakumbuka baba angu alinisaidia sna kuanzisha Biashara zaidi ya tano na zote nilipiga pua kwasababu hela haikuniuma akanichoka akaniambia ukija na laki ndakupa laki ukija na million ndakupa million kaumie kwanza

Mwanzo nilihisi mzee kanipa mtihani nisioweza kuufanya nikawa mzururaji sana wa mikoa tofauti ili mradi nimuoneshe napambana nilikuja kupata fedheha ya kutumiwa nauli nimestuck mkoani iringa sina hata nauli

Nilivofika nyumban niliamua kuwa serious nikaanza kupambana baada ya mwaka na miezi nikafanikiwa kupata mtaji wa laki 7 na mzee baada ya wiki akauza ng'ombe 1 akaniongezea nikaanza kupambana til now

Hitimisho mkuu kama una hamu ya upambanaji uza kiwanja mkuu acha kulaumu Ndugu,ndugu watakuongezea wakiona mafanikio
Hongera mkuu kwa kuonesha jitihada wengine hulalamika wazazi hawawawezeshi wakati hata jitahada za kuwezeshwa hawaoneshi
 
Usije kulaumu madon wa ukoo wakati huna pa kuanzia nakumbuka baba angu alinisaidia sna kuanzisha Biashara zaidi ya tano na zote nilipiga pua kwasababu hela haikuniuma akanichoka akaniambia ukija na laki ndakupa laki ukija na million ndakupa million kaumie kwanza

Mwanzo nilihisi mzee kanipa mtihani nisioweza kuufanya nikawa mzururaji sana wa mikoa tofauti ili mradi nimuoneshe napambana nilikuja kupata fedheha ya kutumiwa nauli nimestuck mkoani iringa sina hata nauli

Nilivofika nyumban niliamua kuwa serious nikaanza kupambana baada ya mwaka na miezi nikafanikiwa kupata mtaji wa laki 7 na mzee baada ya wiki akauza ng'ombe 1 akaniongezea nikaanza kupambana til now

Hitimisho mkuu kama una hamu ya upambanaji uza kiwanja mkuu acha kulaumu Ndugu,ndugu watakuongezea wakiona mafanikio
Naunga mkono hoja......mtu husaidia na chake sio rahisi kupata msaada wakati huna chochote
 
Biashara haina mtaji maalum anza na ulicho nacho, ukianza na kidogo hasara itakuwa ndogo ukianza na kikubwa ukipata hasara itakuwa kubwa japo atutarajii upate hasara ila kwa anaenza huwa inatokeaga

Ushauri wa bure,,,usiuze kiwanja pambana uweke flem hata mbili ufanyie biashara kwako kama ni mjini
 
Habari za majukumu Ladies and Gents.

Baada ya Purukushani za mjini naona ajira zimekuwa ngumu sana nataka kuuza mali zangu baadhi nijite kwenye Biashara ya Nafaka (karanga n.k)

Nina Kiwanja ambacho Jirani yangu ameahidi kunipa 1,300,000 Tshs.

Nina Sea Piano SP 1002 naweza kuiuza 120,000 ina miezi mitatu tu.

Nina simu Tecno Camon 16s hapa naweza pata 150,000 tu then nanunua kasimu kadogo tu.

Nauza na vidogo vidogo kama Flash Disk 1, Memory Card 1 hapa kuna 25,000.

Kwa Ujumla nilihitaji 1,500,000 kwa Biashara hii ambayo msimu unaanza mwezi wa tatu na kuisha mwezi wa 6.

Wadau naombeni Mawazo, Ushauri, ama chochote cha kuongea.
kama una plan nzuri ,endelea tu mkuu, kimfaacho mtu chake
lakini mbona msimu wa mazao bado?
 
YOU ARE RESPONSIBLE FOR YOUR LIFE 100%
kitu ambacho nimewahi kujifunza in a hard way ni kwamba, no one is going to save you. Binafsi, kama umeamua hivyo ni sawa lakini zingatia yafuatayo 1. Its okay to take risk but calculated risk 2. Work smart sana, kusanya informations za kutosha ili ukiingiza hela sehemu uwe na uhakika hata wa break even kwanza, 3. Burning time, jiandae sio ukianza tu utaanza kupata faida kuna karun flan hvi kakukukaribisha kwenye biashara usikachkulie poa kapo. 4. Its going to be harder than you expected.

Thanks mkuu
 
Habari za majukumu Ladies and Gents.

Baada ya Purukushani za mjini naona ajira zimekuwa ngumu sana nataka kuuza mali zangu baadhi nijite kwenye Biashara ya Nafaka (karanga n.k)

Nina Kiwanja ambacho Jirani yangu ameahidi kunipa 1,300,000 Tshs.

Nina Sea Piano SP 1002 naweza kuiuza 120,000 ina miezi mitatu tu.

Nina simu Tecno Camon 16s hapa naweza pata 150,000 tu then nanunua kasimu kadogo tu.

Nauza na vidogo vidogo kama Flash Disk 1, Memory Card 1 hapa kuna 25,000.

Kwa Ujumla nilihitaji 1,500,000 kwa Biashara hii ambayo msimu unaanza mwezi wa tatu na kuisha mwezi wa 6.

Wadau naombeni Mawazo, Ushauri, ama chochote cha kuongea.
Kuuza kiwanja sio tatizo. Tatizo nikufanya biashara ambayo bei zake nielekezi hasa ukiwa na mtaji mdogo. Kulia ni nje nje maana profit margin uwa ni ndogo sana.
 
Habari za majukumu Ladies and Gents.

Baada ya Purukushani za mjini naona ajira zimekuwa ngumu sana nataka kuuza mali zangu baadhi nijite kwenye Biashara ya Nafaka (karanga n.k)

Nina Kiwanja ambacho Jirani yangu ameahidi kunipa 1,300,000 Tshs.

Nina Sea Piano SP 1002 naweza kuiuza 120,000 ina miezi mitatu tu.

Nina simu Tecno Camon 16s hapa naweza pata 150,000 tu then nanunua kasimu kadogo tu.

Nauza na vidogo vidogo kama Flash Disk 1, Memory Card 1 hapa kuna 25,000.

Kwa Ujumla nilihitaji 1,500,000 kwa Biashara hii ambayo msimu unaanza mwezi wa tatu na kuisha mwezi wa 6.

Wadau naombeni Mawazo, Ushauri, ama chochote cha kuongea.
Biashara sio option ya kufeli Mamb mengine uko... nakushauri endelea kutafuta ajira ww, biashara sio mahala kwako..
 
Back
Top Bottom