Nina mpango wa kuwashitaki wateuliwa wa CCM ndani na nje ya nchi, Mungu nisaidie

4 7mbatizaji

JF-Expert Member
Joined
Dec 8, 2019
Posts
8,406
Reaction score
9,619
Wakuu JF Mungu amebariki.

Sio mda nitawashitaki wateuliwa wa CCM, nitanza na Makonda wengine watafutia. Haiwezekani nchi endeshwa kihuni namna hii kisa watu pitia mgongo wa CCM.

Nitawashitaki and then watalipa Taifa sio mie.

Wanasheria mlio tiyari zama Dm tuyajenge.

Thanks
 
Njoo nikupe msaada wa kifedha kashindwa lissu na yule kibaka robert amsterdam!
 
Hii nayo ni dalili ya kukosa kazi au kitu cha kukuweka bize. Wakati mwingine ni heri kunywa bia au whiskey kupunguza stress hata kama baadae zitarudi. Hiki ulicholeta hapa ni kitu cha KUSADIKIKA TU. Utawashtani nani?, wapi?,lini!?.. Ni kama vile unaota tu.
 
Wakuu JF Mungu amebariki.

Sio mda nitawashitaki wateuliwa wa CCM, nitanza na Makonda wengine watafutia. Haiwezekani nchi endeshwa kihuni namna hii kisa watu pitia mgongo wa CCM.

Nitawashitaki and then watalipa Taifa sio mie.

Wanasheria mlio tiyari zama Dm tuyajenge.

Thanks
Mungu akutie nguvu , Amina
 
Hii nayo ni dalili ya kukosa kazi au kitu cha kukuweka bize. Wakati mwingine ni heri kunywa bia au whiskey kupunguza stress hata kama baadae zitarudi. Hiki ulicholeta hapa ni kitu cha KUSADIKIKA TU. Utawashtani nani?, wapi?,lini!?.. Ni kama vile unaota tu.
Hata Nyerere alipopambana na wakoloni wale waliojiita Watoto wa Mjini walisema kama wewe
 
Mifano yako huwa ni ya kitoto sana, kwahiyo na wewe unaamini atawashtaki wateuliwa wa CCM?,Atawashtaki wapi!?,lini?,atawashtakije!?.. Afya ya akili ni tatizo kubwa kuliko tunavyodhani.
 
Back
Top Bottom