4 7mbatizaji
JF-Expert Member
- Dec 8, 2019
- 8,406
- 9,619
Mungu akutie nguvu , AminaWakuu JF Mungu amebariki.
Sio mda nitawashitaki wateuliwa wa CCM, nitanza na Makonda wengine watafutia. Haiwezekani nchi endeshwa kihuni namna hii kisa watu pitia mgongo wa CCM.
Nitawashitaki and then watalipa Taifa sio mie.
Wanasheria mlio tiyari zama Dm tuyajenge.
Thanks
Hata Nyerere alipopambana na wakoloni wale waliojiita Watoto wa Mjini walisema kama weweHii nayo ni dalili ya kukosa kazi au kitu cha kukuweka bize. Wakati mwingine ni heri kunywa bia au whiskey kupunguza stress hata kama baadae zitarudi. Hiki ulicholeta hapa ni kitu cha KUSADIKIKA TU. Utawashtani nani?, wapi?,lini!?.. Ni kama vile unaota tu.
Mifano yako huwa ni ya kitoto sana, kwahiyo na wewe unaamini atawashtaki wateuliwa wa CCM?,Atawashtaki wapi!?,lini?,atawashtakije!?.. Afya ya akili ni tatizo kubwa kuliko tunavyodhani.Hata Nyerere alipopambana na wakoloni wale waliojiita Watoto wa Mjini walisema kama wewe