Ngalikihinja
JF-Expert Member
- Sep 1, 2009
- 33,643
- 36,090
Wapangie ratiba. Inavyoonekana umewaacha huru sana kwenye TV.Wakuu za usiku.
Nina TV na madishi ya azam na mengine. TV mbili. Nawaza hapa, enzi zetu hatukuwa na TV hivi sasa watoto wanapoteza muda kwenye katuni na movies. Hii inanipa picha najenga kizazi cha kukaa na kuangalia TV, Watu wavivu, Ombaomba na Maskini. Hii haikubaliki
Naomba kutoa hoja..naomba mniunge mkono au kutoa maoni
Hata You Tube kuna programs nyingi za jinsi watoto wanavyofuata zaidi wanayoyaona kuliko wanayoambiwa, be good most of the time and you children will copy that.Pdf yake ni ndefu kidogo ila kanuni ya malezi ni kwamba watoto hawafanyi kile unawaambia wasifanye au wafanye Bali hufanya kile unachofanya
Wakiume hufanya kama baba yake na WA kike hufanya kama mama yake kuanzia wakati wa kuamka hadi wakati wa kulala
Sikiliza "coward of the county"wa Ken Rogers utaelewa vizuri zaidi ni SoMo la malezi nami sio mzuri sana wa kuandika
Umefanya jambo lenye maana dunia yote kwa hyo mtuMkuu ni kuwawekea tu ratiba maana huwezi kushindana na teknolojia mwisho wa siku itashinda. Hata kabla ya zama zako kulikuwa na zama za wa kabla yako nao hawakuwa na vitu ulivyokuwa navyo wewe huenda na wao walikuwa wanakuona wewe mvivu.
Just wawekee muda tu na ratiba. Teknolojia si mbaya ikitumika ipasavyo. Kwa mfano mimi nina kiajana mtoto wa dadangu ana miaka 10 nishaanza kumfundisha programming. Nishaanza kumfundisha namna ya kutumia Chatbots kuandika vitu, kuuliza maswali, kupata ufafanuzi. Hopeful mpaka anakuja kufika labda form two atakuwa ana uelewa mkubwa na huenda atakuwa tayari ana uwezo wa kuandika viprogamu fulani fulani.
Nimejiuliza nikapata majibu kama yako. Mbona mimi nilikuwa ba nyumbani kuna TV na nilikuwa naachana nayo naenda kucheza? Tatizo watoto wa siku hizi wanashinda ndani tu. Wazazi wanaona ndio 'uzungu' Sasa mtoto muda wote yupo ndani attachable kuwa addicted na TV?kama mtoto wako anaangalia tv sana ujue social life yake haipo vizuri
hana marafiki hapo mtaani, na hachezi michezo kama mpira, baiskeli nk.
1. mfundishe kupenda michezo na kutengeneza marafiki
2. fanya kama wazungu, siku za wiki tv inaangaliwa kwa ratiba... weekend ndo ipo free
Nje huko unakujua mkuu? Ndani ya jiji sio salama kabisa.Nimejiuliza nikapata majibu kama yako. Mbona mimi nilikuwa ba nyumbani kuna TV na nilikuwa naachana nayo naenda kucheza? Tatizo watoto wa siku hizi wanashinda ndani tu. Wazazi wanaona ndio 'uzungu' Sasa mtoto muda wote yupo ndani attachable kuwa addicted na TV?
Ya ile ya girl friend na boys friend kesho anakuambia nina rafiki yangu, kesho tena jumamosi tutaenda kusex kwa mara ya kwanza. Ilimtokea jamaa angu kitaa.kama mtoto wako anaangalia tv sana ujue social life yake haipo vizuri
hana marafiki hapo mtaani, na hachezi michezo kama mpira, baiskeli nk.
1. mfundishe kupenda michezo na kutengeneza marafiki
2. fanya kama wazungu, siku za wiki tv inaangaliwa kwa ratiba... weekend ndo ipo free
Asilimia kubwa humu mnaongea maigizo.kama mtoto wako anaangalia tv sana ujue social life yake haipo vizuri
hana marafiki hapo mtaani, na hachezi michezo kama mpira, baiskeli nk.
1. mfundishe kupenda michezo na kutengeneza marafiki
2. fanya kama wazungu, siku za wiki tv inaangaliwa kwa ratiba... weekend ndo ipo free
Sawa.Nje huko unakujua mkuu? Ndani ya jiji sio salama kabisa.
hayo mambo yatafanywa sana tuYa ile ya girl friend na boys friend kesho anakuambia nina rafiki yangu, kesho tena jumamosi tutaenda kusex kwa mara ya kwanza. Ilimtokea jamaa angu kitaa.
Maana ilianza safari za kuwapeleka bichi, baadae wanaenda bichi na majirani, baadae ameejnga ukaribu na jirani na mara wanapiga romance
Kwa umri mkubwa inaruhusiwa? Were kweli mshamba_hachekwi mshamba_mwinginehayo mambo yatafanywa sana tu
unatakiwa uwaelimishe kuhusu madhara ya ngono kwenye umri mdogo