Nina mpenzi nimemchoka na simpendi lakini nashndwa jinsi kumuacha nifanyeje???????

We!!!...unaumwa chakun**yea... kengewakijani wewe... hivi jamani haya matangazo kilakukicha na HIV bado tunajiachia namna hii... nadhani kuna mtu anamfanyia demu wako hivyo hivyo... na mdemu na wao wamezidi kujirahisi sana...baada ya hapo mnalia naachika sana nisaidieni....mmeniudhi...
 
1) You're one big layer the dots in your story ngumu kuconnect
2) Arrangement ya sababu za kumkataa zinaprove wewe ni kenge kicheche. Kwa sababu tayari you are committed, umesema hutomuacha kamwe, sasa hizo sababu zingine ulizichunguza za nini? tena ukazieka za kwanza ina maana zingekaa vizuri huyo mchumbako aandike maumivu!
3) kama uhusiano wa kuiba ndo ulikuwa wa mbwembwe namna hiyo hadi kwenu wote wanajua we kenge kicheche tu!
4)Kwani wakati unajifunza kutongoza hukupata na elimu ya kuacha?
 
Reactions: LD
Ulichokifanya siyo kizuri kwan umempotezea muda wake mbona wanaume tunakuwa na tamaa hivyo kama una girlfrnd unahangaika nn ndugu ok umeshafanya hivyo unajisikiaje kwa ulichokifanya bro ushauri mweleze ukwl atakuelewa ili ujue cha kufanya kumkwepa hatasaidii kwa 7 umesema hata masikan anapafahamu unafikiri utaweza kukwepa hapo ndugu funguka kuwa mkweli.
 
kwenye
namba 1. ana umri gani?
namba 2. ni kabila gani hilo mbona unaleta ukabila mkuu?
namba 3. next time usijaribu kuchezea hisia za mwenzako kuna jamaa alijaribu kumdaganya Mwamke wakati tayari alikua na mke na watoto wawili akadanganya akasema anataka kuoa, baada ya yule mwanamke kugundua kadanganywa alichokifanya alimpiga ndumba yule jamaa yaani jamaa alianza kuoza mguu wa kulia mpaka upande wote wa kulia ukawa umeoza, in short jamaa alikufa kifo kizuri na watu walihangaika nae kwa waganga wa kienyeji na kwenye maombi lakini haikusaidia mpaka alipoamua kusema kua alimdanganya mwanamke lakini hata hivyo na yeye alichelewa maana mwili upande wote ulishaoza
 
hili kaka unalo tuu...subiria vituko. next tym ukiwa unataka service ur rod nenda kwa dada poa...hamna kunatana
 

Masabur yako.
 
Wala usijali, demu wako wa mwanza naye ameshachukuliwa.......
 
Unatakiwa ufungwe jiwe la kusagia utupwe baharini.


 
Muombe t.....go!
 
Ukitaka kumuacha tumia mbinu zile zile ulizotumia kumtongoza! Kengewakijani...
 
Unatakiwa ufungwe jiwe la kusagia utupwe baharini.


 
Wewe ni kicheche,una mchumba halafu bado unatafuta wengine?Miezi 7 kitu gani,ina maana mkeo ukiumwa mwaka utatembea na watu wangapi?Umevuna ulichopanda.Huyo dada akazane,na ukizembea atashika mimba!
 
Matatizo umeyatafuta mwenyewe bila shaka utapata namna ya kusolve ..mambo ya kuumizana vichwa usawa huu hayafai
 
Dah! Kuna watu wanapenda kuumiza mioyo ya watu makusudi.. Nimeumia sana niliposoma huu uzi wako.. Dada wa watu kazimika kumbe wewe nia yako umvue nguo tuu.. Umemaliza ulichokuwa unataka saivi ndio unajidai eti una mpenzi wako Mwanza..! Usahuri wangu ni kwamba iko siku uliyomfanyia huyo dada nawe utaja fanyiwa..Get yoursefl prepared!
 
Kama vipi muite demu wako wa mz mwonyeshe huyo kuwa ndo demu wako umpenaye la sivyo hata ufanyeje kaishanata umwambii chochote.
 
wewe ni kicheche na utavuna ulichopanda mana huna msimamo na mpenx wk wa awali ,,,,kwa maana akitokea msichana mwengine mrenbo akiingaia line unakamatilia,angalia ma HIV/AIDS ujani ni muhimu sana

Kama mana ya kicheche ni kuwa na mademu wawil tena mwingne wa juz bas i am! but ukwel naujua mimi
 
usicheze na moyo wa mtu kabisa tamaa mbaya achaaa kama ulijua unampenzi kwanini umharibie uyo binti kazi unayo kwakweli
 
Kama yupo mwanza saut lazma na wewe wanakumegea demu wako tena ningemfaham ningemuomba game nimpge mastail mazito mbuz kagoma kwenda,chura anapga mbizi,kumbuka muosha uoshwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…