Nina mpenzi nimemchoka na simpendi lakini nashndwa jinsi kumuacha nifanyeje???????

We!!!...unaumwa chakun**yea... kengewakijani wewe... hivi jamani haya matangazo kilakukicha na HIV bado tunajiachia namna hii... nadhani kuna mtu anamfanyia demu wako hivyo hivyo... na mdemu na wao wamezidi kujirahisi sana...baada ya hapo mnalia naachika sana nisaidieni....mmeniudhi...
 
1) You're one big layer the dots in your story ngumu kuconnect
2) Arrangement ya sababu za kumkataa zinaprove wewe ni kenge kicheche. Kwa sababu tayari you are committed, umesema hutomuacha kamwe, sasa hizo sababu zingine ulizichunguza za nini? tena ukazieka za kwanza ina maana zingekaa vizuri huyo mchumbako aandike maumivu!
3) kama uhusiano wa kuiba ndo ulikuwa wa mbwembwe namna hiyo hadi kwenu wote wanajua we kenge kicheche tu!
4)Kwani wakati unajifunza kutongoza hukupata na elimu ya kuacha?
 
  • Thanks
Reactions: LD
Ulichokifanya siyo kizuri kwan umempotezea muda wake mbona wanaume tunakuwa na tamaa hivyo kama una girlfrnd unahangaika nn ndugu ok umeshafanya hivyo unajisikiaje kwa ulichokifanya bro ushauri mweleze ukwl atakuelewa ili ujue cha kufanya kumkwepa hatasaidii kwa 7 umesema hata masikan anapafahamu unafikiri utaweza kukwepa hapo ndugu funguka kuwa mkweli.
 
Habari wadau°°°°°°°°°°

1.Umri wake nahs kama ananidanganya ni mkubwa xana.

2.kabila lake cyo favourite kwangu cpend watu wa that tribe(ctetei ubaguzi lakin)

3.Nina demu wangu mchumba yuko Mwanza ni msomi pia tena nampenda kupita kias, ni mrembo wa kabila langu, na ni miaka 7 leo tangu 2anze nae mahusiano ctaki kumuacha hata iweje, Na cku nikrud mwanza cjui itakuwaje mana nahs ataningundua kuwa nilimsaliti katka mapenzi.
kwenye
namba 1. ana umri gani?
namba 2. ni kabila gani hilo mbona unaleta ukabila mkuu?
namba 3. next time usijaribu kuchezea hisia za mwenzako kuna jamaa alijaribu kumdaganya Mwamke wakati tayari alikua na mke na watoto wawili akadanganya akasema anataka kuoa, baada ya yule mwanamke kugundua kadanganywa alichokifanya alimpiga ndumba yule jamaa yaani jamaa alianza kuoza mguu wa kulia mpaka upande wote wa kulia ukawa umeoza, in short jamaa alikufa kifo kizuri na watu walihangaika nae kwa waganga wa kienyeji na kwenye maombi lakini haikusaidia mpaka alipoamua kusema kua alimdanganya mwanamke lakini hata hivyo na yeye alichelewa maana mwili upande wote ulishaoza
 
hili kaka unalo tuu...subiria vituko. next tym ukiwa unataka service ur rod nenda kwa dada poa...hamna kunatana
 
Habari wadau°°°°°°°°°°

Im a 25yrs old mvulana, nina demu mpya ambae 2na mda wa miez miwili tu, nilmpata kupitia mitandao ya kijamii (FB)

Baada ya kuwa karbu nae kupitia chating and open phone calls Ilifka ctage ya kuonana live, Na kabla ya kuonana 2likuwa 2shatongozana tayar na demu alikuwa amekubali.

Ebwana 2lipokuja kuonana Demu alikuwa wa wastani sana japokuwa ni mrembo na anaxoma chuo kimoja hvi hapa dsm, 2lipeana ma-hugs then ikabak her turn kuja geto.

Ctak ujue nilshakwenda nae mara ngapi but c chn ya mara3, demu kusema kwel amenogewa, na amenipenda sana tena kupita kias, Na mpaka sasa alishafka mpaka maskan kwe2 na mara kbao anaibukaga hata kama mimi cpo, watoto wa maskan anawaletea mizawad kbao c maanish pipi au big G Hapa but v2 vya gharama. Na watu wa maskan wamemkubal na wamemuzoea na wananishawish niweke ndani.

Nimekuwa nikijarbu Kupunguza mawasliano lakn yeye ananisaka kama obama na Osama.

Cku zngne namkatazaga had kuja maskan but unastukia alshatnga.

Why namkataa?

1.Umri wake nahs kama ananidanganya ni mkubwa xana.

2.kabila lake cyo favourite kwangu cpend watu wa that tribe(ctetei ubaguzi lakin)

3.Nina demu wangu mchumba yuko Mwanza ni msomi pia tena nampenda kupita kias, ni mrembo wa kabila langu, na ni miaka 7 leo tangu 2anze nae mahusiano ctaki kumuacha hata iweje, Na cku nikrud mwanza cjui itakuwaje mana nahs ataningundua kuwa nilimsaliti katka mapenzi.

Ombi langu-

Nifanyeje kumkwepa huyu m2? Je ni2pe laini? nimblock fb? je Akija nyumbani? halafu lile kabila ni balaa kwa Unga wa miti?

WADAU NAOMBA USHAURI NATESEKA SANA PIA USINIELEWE VBAYA I'M A GUY WHO CARE CO FUNGUA FUNGUA ZIPU, NILISHNDWA NA TAMAA ZA MWILI NIKAONA NIEGESHE KWA MDA KUMBE MWENZANGU ANATAKA KUOLEWA.

NDO KUSEMA CKU HZ HAKUNA KUTONGOZANA LAZMA MUOANE LOL!

CTARUDIA WANDUNGU!

Masabur yako.
 
Wala usijali, demu wako wa mwanza naye ameshachukuliwa.......
 
Unatakiwa ufungwe jiwe la kusagia utupwe baharini.

Habari
wadau°°°°°°°°°°

Im a 25yrs old mvulana, nina demu mpya ambae 2na mda wa miez miwili tu,
nilmpata kupitia mitandao ya kijamii (FB)

Baada ya kuwa karbu nae kupitia chating and open phone calls Ilifka
ctage ya kuonana live, Na kabla ya kuonana 2likuwa 2shatongozana tayar
na demu alikuwa amekubali.

Ebwana 2lipokuja kuonana Demu alikuwa wa wastani sana japokuwa ni mrembo
na anaxoma chuo kimoja hvi hapa dsm, 2lipeana ma-hugs then ikabak her
turn kuja geto.

Ctak ujue nilshakwenda nae mara ngapi but c chn ya mara3, demu kusema
kwel amenogewa, na amenipenda sana tena kupita kias, Na mpaka sasa
alishafka mpaka maskan kwe2 na mara kbao anaibukaga hata kama mimi cpo,
watoto wa maskan anawaletea mizawad kbao c maanish pipi au big G Hapa
but v2 vya gharama. Na watu wa maskan wamemkubal na wamemuzoea na
wananishawish niweke ndani.

Nimekuwa nikijarbu Kupunguza mawasliano lakn yeye ananisaka kama obama
na Osama.

Cku zngne namkatazaga had kuja maskan but unastukia alshatnga.

Why namkataa?

1.Umri wake nahs kama ananidanganya ni mkubwa xana.

2.kabila lake cyo favourite kwangu cpend watu wa that tribe(ctetei
ubaguzi lakin)

3.Nina demu wangu mchumba yuko Mwanza ni msomi pia tena nampenda kupita
kias, ni mrembo wa kabila langu, na ni miaka 7 leo tangu 2anze nae
mahusiano ctaki kumuacha hata iweje, Na cku nikrud mwanza cjui
itakuwaje mana nahs ataningundua kuwa nilimsaliti katka mapenzi.

Ombi langu-

Nifanyeje kumkwepa huyu m2? Je ni2pe laini? nimblock fb? je Akija
nyumbani? halafu lile kabila ni balaa kwa Unga wa miti?

WADAU NAOMBA USHAURI NATESEKA SANA PIA USINIELEWE VBAYA I'M A GUY WHO
CARE CO FUNGUA FUNGUA ZIPU, NILISHNDWA NA TAMAA ZA MWILI NIKAONA
NIEGESHE KWA MDA KUMBE MWENZANGU ANATAKA KUOLEWA.

NDO KUSEMA CKU HZ HAKUNA KUTONGOZANA LAZMA MUOANE LOL!

CTARUDIA WANDUNGU!
Muombe t.....go!
 
Ukitaka kumuacha tumia mbinu zile zile ulizotumia kumtongoza! Kengewakijani...
 
Unatakiwa ufungwe jiwe la kusagia utupwe baharini.

Habari wadau°°°°°°°°°°

Im a 25yrs old mvulana, nina demu mpya ambae 2na mda wa miez miwili tu, nilmpata kupitia mitandao ya kijamii (FB)

Baada ya kuwa karbu nae kupitia chating and open phone calls Ilifka ctage ya kuonana live, Na kabla ya kuonana 2likuwa 2shatongozana tayar na demu alikuwa amekubali.

Ebwana 2lipokuja kuonana Demu alikuwa wa wastani sana japokuwa ni mrembo na anaxoma chuo kimoja hvi hapa dsm, 2lipeana ma-hugs then ikabak her turn kuja geto.

Ctak ujue nilshakwenda nae mara ngapi but c chn ya mara3, demu kusema kwel amenogewa, na amenipenda sana tena kupita kias, Na mpaka sasa alishafka mpaka maskan kwe2 na mara kbao anaibukaga hata kama mimi cpo, watoto wa maskan anawaletea mizawad kbao c maanish pipi au big G Hapa but v2 vya gharama. Na watu wa maskan wamemkubal na wamemuzoea na wananishawish niweke ndani.

Nimekuwa nikijarbu Kupunguza mawasliano lakn yeye ananisaka kama obama na Osama.

Cku zngne namkatazaga had kuja maskan but unastukia alshatnga.

Why namkataa?

1.Umri wake nahs kama ananidanganya ni mkubwa xana.

2.kabila lake cyo favourite kwangu cpend watu wa that tribe(ctetei ubaguzi lakin)

3.Nina demu wangu mchumba yuko Mwanza ni msomi pia tena nampenda kupita kias, ni mrembo wa kabila langu, na ni miaka 7 leo tangu 2anze nae mahusiano ctaki kumuacha hata iweje, Na cku nikrud mwanza cjui itakuwaje mana nahs ataningundua kuwa nilimsaliti katka mapenzi.

Ombi langu-

Nifanyeje kumkwepa huyu m2? Je ni2pe laini? nimblock fb? je Akija nyumbani? halafu lile kabila ni balaa kwa Unga wa miti?

WADAU NAOMBA USHAURI NATESEKA SANA PIA USINIELEWE VBAYA I'M A GUY WHO CARE CO FUNGUA FUNGUA ZIPU, NILISHNDWA NA TAMAA ZA MWILI NIKAONA NIEGESHE KWA MDA KUMBE MWENZANGU ANATAKA KUOLEWA.

NDO KUSEMA CKU HZ HAKUNA KUTONGOZANA LAZMA MUOANE LOL!

CTARUDIA WANDUNGU!
 
Wewe ni kicheche,una mchumba halafu bado unatafuta wengine?Miezi 7 kitu gani,ina maana mkeo ukiumwa mwaka utatembea na watu wangapi?Umevuna ulichopanda.Huyo dada akazane,na ukizembea atashika mimba!
 
Matatizo umeyatafuta mwenyewe bila shaka utapata namna ya kusolve ..mambo ya kuumizana vichwa usawa huu hayafai
 
Dah! Kuna watu wanapenda kuumiza mioyo ya watu makusudi.. Nimeumia sana niliposoma huu uzi wako.. Dada wa watu kazimika kumbe wewe nia yako umvue nguo tuu.. Umemaliza ulichokuwa unataka saivi ndio unajidai eti una mpenzi wako Mwanza..! Usahuri wangu ni kwamba iko siku uliyomfanyia huyo dada nawe utaja fanyiwa..Get yoursefl prepared!
 
Kama vipi muite demu wako wa mz mwonyeshe huyo kuwa ndo demu wako umpenaye la sivyo hata ufanyeje kaishanata umwambii chochote.
 
wewe ni kicheche na utavuna ulichopanda mana huna msimamo na mpenx wk wa awali ,,,,kwa maana akitokea msichana mwengine mrenbo akiingaia line unakamatilia,angalia ma HIV/AIDS ujani ni muhimu sana

Kama mana ya kicheche ni kuwa na mademu wawil tena mwingne wa juz bas i am! but ukwel naujua mimi
 
usicheze na moyo wa mtu kabisa tamaa mbaya achaaa kama ulijua unampenzi kwanini umharibie uyo binti kazi unayo kwakweli
 
Kama yupo mwanza saut lazma na wewe wanakumegea demu wako tena ningemfaham ningemuomba game nimpge mastail mazito mbuz kagoma kwenda,chura anapga mbizi,kumbuka muosha uoshwa
 
Back
Top Bottom