Nina mtaji wa 2M naomba wazo la biashara

Nina mtaji wa 2M naomba wazo la biashara

pet geo pet

JF-Expert Member
Joined
Jun 30, 2018
Posts
508
Reaction score
788
Wakuu habarin!

Nimejitaidi kufanya kazi kwa muda mrefu Sana mpaka nikafanikiwa kukusanya kiasi cha Million 2 ila nimeshidwa nifanye biashara gani.

Wakuu mwenye wazo la biashara naomba anisadie, napatikana Mwanza, kuajiriwa nimechoka Sana.

Naombeni wazo la biashara wakuu.
 
Wakuu habarin!

Nimejitaidi kufanya kazi kwa muda mrefu Sana mpaka nikafanikiwa kukusanya kiasi cha Million 2 ila nimeshidwa nifanye biashara gani...
Fungua kijiwe Cha kuuza rangi za magari na vanish zake

Kam unataka elimu yake na mbinu njoo dm ila utanilipa fee ya consultantat

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom