Nina mtaji wa 2M naomba wazo la biashara

Ungekua Dodoma ningekushauri ufungue Stoo au Duka la Nafaka.

●50k unapata fremu mtaani unalipa miezi mitatu 150k.

●250k mzani kimeza cha mbele ya ofisi na matengezo kidogo kilingana na chumba cha frem kitavokua.

●1100k unapata kilo 500 za mchele mzuri ambao unauzika mtaani 2800 kwenda juu weka hapo.

●300k Hii itumie kununua Sembe 50k mifuko miwili, Ngano 40k mfuko1 Maharage 50k kwa kilo25 na mayai trei5 kwa 45k.

●Utabaki na 300k Cashi ya kuanzanayo ya kuangalia kipi cha kujazia au kuangalia wateja watakua wanataka bidhaa zipi pia
Umesahau na kumwambia anunue na mafuta ya kula nayo dili mtaani
 
Ungekua Dodoma ningekushauri ufungue Stoo au Duka la Nafaka.

●50k unapata fremu mtaani unalipa miezi mitatu 150k.

●250k mzani kimeza cha mbele ya ofisi na matengezo kidogo kilingana na chumba cha frem kitavokua.

●1100k unapata kilo 500 za mchele mzuri ambao unauzika mtaani 2800 kwenda juu weka hapo.

●300k Hii itumie kununua Sembe 50k mifuko miwili, Ngano 40k mfuko1 Maharage 50k kwa kilo25 na mayai trei5 kwa 45k.

●Utabaki na 300k Cashi ya kuanzanayo ya kuangalia kipi cha kujazia au kuangalia wateja watakua wanataka bidhaa zipi pia
Ebhana nimependa idea Yako,kama uko Dodoma hebu tuongee hii issue njoo Dm.
 
Ungekua Dodoma ningekushauri ufungue Stoo au Duka la Nafaka.

●50k unapata fremu mtaani unalipa miezi mitatu 150k.

●250k mzani kimeza cha mbele ya ofisi na matengezo kidogo kilingana na chumba cha frem kitavokua.

●1100k unapata kilo 500 za mchele mzuri ambao unauzika mtaani 2800 kwenda juu weka hapo.

●300k Hii itumie kununua Sembe 50k mifuko miwili, Ngano 40k mfuko1 Maharage 50k kwa kilo25 na mayai trei5 kwa 45k.

●Utabaki na 300k Cashi ya kuanzanayo ya kuangalia kipi cha kujazia au kuangalia wateja watakua wanataka bidhaa zipi pia
wazo nzuri mkuu ishu location tu
 
Uza unga wa ugali mwanangu, tafuta mashine ya kusaga na kukoboa, cheki bei ya mahindi sokoni. Uwe na both Sembe na Dona na mzani, angalia wewe utawachangiaje wenye mashine ila wengine hawana noma sababu unalipia huduma za kusaga na kukoboa. Hio biashara might give you a hell huge profit hadi ushangae sema ndo hivyo kama bishoo hautaiweza.

2. Fanya biashara ya Pumba, njoo morogoro vijijini kwenye mashine za unga, nunua pumba gunia hata 10 kwa kuanzia za debe 10 kwa laki 2 na nusu, peleka dar hasa maeneo ya Goba, Bunju, Mbweni, piga maokoto yako. Kama unajiweza unanunua hata na Mashudu ya alizeti unaenda kuuza mjini, ni biashara nzuri sana na ina faida kubwa sana.
 
Shukrani mkuu
 
Hizo pumba na shudu ni kufika na kuuza tu chapu au ndo mpka uanze udalali

Kwan hizi pumba zinatumika kufanyia nini??
 
Ukitaka kufanya biashara yoyote ile ni vyema uijue vizuri kabla ya kuifanya.

Nakushauri kama nguvu unazo, tafuta boda boda, kaa kijiweni au sajili bolt uanze kazi, faida utakayopata unaweza wekeza sehemu nyingine
 
Back
Top Bottom