pet geo pet
JF-Expert Member
- Jun 30, 2018
- 508
- 788
Amesema yupo MwanzaUpo wapi ili tukupe ushauri kulingana na mazingira uliyopo
Nipo DarUpo wapi ili tukupe ushauri kulingana na mazingira uliyopo
Umechanganya ID Mkuu [emoji16][emoji16]Nipo dar
Pole sana,kuajiriwa nimechoka Sana
Mkuu, huko Karatu naskia mambo yetu yalee ni vyede kinyama..π ila pamewaka kinoma...π€Njoo Karatu, lima kitunguu, nusu acre...
Mpe muongozo kidogo chief2m ni chache sana na pia ni nyingi sana, biashara kwa sasa zinachangamoto nyingi sana. Ila kwa hyo hela jaribu kuanza na ka kiwanda kadogo cha uzalishaji.
Yaani kirahisi tu namna hii...π€Mimi nafikiri tumia laki 6 tu kwenye biashara utakayoianzisha, ukiona imeyumba ongezea laki 4 ukiona bado inayumba achana nayo Mkuu.
Tafuta nyingine kwa milion iliyobaki.
Huko ni kujichotea tu Mkuu, wamewamba sana.Mkuu, huko Karatu naskia mambo yetu yalee ni vyede kinyama..π ila pamewaka kinoma...π€
Maisha mafupi kaka, si umeona amesema kaipata kwa msoto 2Mil hiyoYaani kiragisi tu namna hii...π€
Kwahiyo nawewe unatafuta ushauri wa biashara ya kufanya kwa mtaji unao lingana na mleta mada??Nipo dar
Ndiyo yeye huyo, angalia nyuzi zake kwenye ID zote mbili.Kwahiyo nawewe unatafuta ushauri wa biashara ya kufanya kwa mtaji unao lingana na mleta mada??
Muda ndo tatizo...kuja nilime.. nipeleka somoni Muda mwingi Sana mkuuNjoo Karatu, lima kitunguu, nusu acre...
Fungua kijiwe Cha kuuza rangi za magari na vanish zakeWakuu habarin!
Nimejitaidi kufanya kazi kwa muda mrefu Sana mpaka nikafanikiwa kukusanya kiasi cha Million 2 ila nimeshidwa nifanye biashara gani...
MwanzaUpo wapi ili tukupe ushauri kulingana na mazingira uliyopo