Wabongo ni watu wenye roho mbaya sana, kipind cha april mpk august ndio kipindi nyanya hua nyingi sokoni na bei yake hua chini sana..kama huna lengo la kumsaidia bora uache kuliko kumpa ushauri wa kumpotezaItupie kwenye kilimo cha nyanya
Kuanzia mwezi wa April hadi August utapiga sana maokoto
Speaking from experience
πππ kitaa noma unaanguka na kuinuka, unapata kazi unafukuzwa baada ya mwaka mmoja, unasema uanze biashara inakufa baada ya miaka miwiliππ unaanza tena kutafuta kazi πPet Geo nimesoma nyuzi zako za kutafuta kazi tangu sijajiunga na JF nipo chuo 2018 huko yaani miaka sita mpaka Leo umekusanya mtaji wa 2 Milion kweli maisha magumu sana haya
Wabongo ni watu wenye roho mbaya sana, kipind cha april mpk august ndio kipindi nyanya hua nyingi sokoni na bei yake hua chini sana..kama huna lengo la kumsaidia bora uache kuliko kumpa ushauri wa kumpoteza
Kwa mbinu hii atamaliza mtaji nahatofunya chochote ππMimi nafikiri tumia laki 6 tu kwenye biashara utakayoianzisha, ukiona imeyumba ongezea laki 4 ukiona bado inayumba achana nayo Mkuu.
Tafuta nyingine kwa milion iliyobaki.
πππ hapo ndio atagundua kujiajiri sio kuzuri. Ni stress tu anajitafutia πKwa mbinu hii atamaliza mtaji nahatofunya chochote ππ
Kwa muda mrefu duh π ila nyie maboss niwamchongo sasa nimepigwa tukio huko hapana πWakuu habarin!
Nimejitaidi kufanya kazi kwa muda mrefu Sana mpaka nikafanikiwa kukusanya kiasi cha Million 2 ila nimeshidwa nifanye biashara gani.
Wakuu mwenye wazo la biashara naomba anisadie, napatikana Mwanza, kuajiriwa nimechoka Sana.
Naombeni wazo la biashara wakuu.