Nina mtaji wa Milion mbili tu, Nifanye biashara gani?

Nina mtaji wa Milion mbili tu, Nifanye biashara gani?

Inaonyesha orodha ndeefu ila wengine ndio hatuielewi hiyo lugha ulioiandika !
 
Chagua moja kati ya hizi kulingana na mtaji wako

BUSINESS ACTIVITIES IDEAS::::

1.Mining and quarrying of asbestos, mica, quartz, gem stones, abrasives, asphalt and bitumen, other non-metallic minerals, n.e.c.
2 Slaughtering, preparing and preserving meat, including sausage, edible animal
3 Processing of inedible oils and fats.
4 Canning, preserving and processing of fish, crustacean and similar foods (except soups).
5 Production of fish meal.
NILIST YENYE VITU LUKUKI msaada anaweza pata wapi sasa wa techs za utengenezaji?
 
NILIST YENYE VITU LUKUKI msaada anaweza pata wapi sasa wa techs za utengenezaji?

Kuwa mpole na waombe wana JF watakusaidia zaidi,Humu huwa hakishindikani kitu ilimradi mtu una moyo wa kuwa mjasiriamali....!
 
Inakuwa ngumu kutoa ushauri wa kukufaa kwamba biashara gani inakufaa wakati hatujui utaiendesha mwenyewe au kumwajiri mtu, na eneo la biashara hali kadhalika kama una sehemu unayomikili kuendeshea biashara au unahitaji kupanga frame, maana kuna biashara kama utaajiri mutu ujue kuna uwezekano wa kukutana na big risk vinginevyo wa familia yako kama mke, mtoto wako, la sivyo ndugu wengie bahati nasibu kupata mwaminifu.

Kama ni kuiendesha wewe mwenyewe zipo nyingi sana zinazolipa kama:
  • Kuuza vocha za simu za jumla
  • Mradi wa chips mayai/mishkaki, ugali samaki, wali nyama nk kama una eneo zuri hulipa ile mbaya.
  • Biashara ya zana na vifaa vya ujenzi maeneo kunakojengwa zaidi kama mabati, sementi, mbao, paints, nk hivyo haviozi kama nyanya.
  • Ukiwa na uhakika kupata dereva wa uhakika bonaboda itakurudishia gharama within 6 month.
  • Kufanya ubia vijana wawili au watatu mnaoaminiana kuwa na hisa kwa kununua daladala.
  • Na mengine mengi tu.

nashukuru sana mkuu ..ngoja niufanyie kazi ushauri Ahsante have a good day
 
wanajamvini napenda wajulia afya mwaendeleaji mu wazma? lengo naombeni ushauri kutoka kwenu Mimi Nina million mbili nipo dar es salaam ni biashara gani naweza anzisha na nkapata faida kwa kiasi hiki cha pesa. nawalisirsha

Nenda zanzibar, kanunue tv,daki,dvd,home cinema system electronic stuff,peleka mikoani huko,milioni mbili hio itazaa ndani ya miezi 6 kama m5 hivi au zaidi halafu utafikiria biashara nyengine, lakini tafuta wenyeji dar pale bandarini ili kuweza kukwepa usumbufu na kulanguliwa pesa
 
ndugu kama unaweza nisaidia kujua bei ya mashine za kufulia zanzibar , au hata kama una mawasiliano na wanaouza hizo mashine naomba unisaidie
 
Jaribu spea za bodaboda mkoani,Unafanya na service ya pikipki hapohapo Kwenye kiduka chako.
 
Nenda zanzibar, kanunue tv,daki,dvd,home cinema system electronic stuff,peleka mikoani huko,milioni mbili hio itazaa ndani ya miezi 6 kama m5 hivi au zaidi halafu utafikiria biashara nyengine, lakini tafuta wenyeji dar pale bandarini ili kuweza kukwepa usumbufu na kulanguliwa pesa

nauliza kwanin zanzibar vitu bei chee?
 
nauliza kwanin zanzibar vitu bei chee?

Kwa sababu ushuru wa zanzibar Upo lower, hivyo bidhaa ni rahisi. Na ni kutokana zanzibar ni kitovu cha biashara, haina rasilimali kama natural resources, hivyo zanzibar Inategemea import taxes, Ndio maana bidhaa rahisi.
 
ndugu kama unaweza nisaidia kujua bei ya mashine za kufulia zanzibar , au hata kama una mawasiliano na wanaouza hizo mashine naomba unisaidie

Kwa kweli sina, ispokuwa unaweza kupata hivyo vitu kibao vya kumwaga, ushawahi kufika zanzibar? Yaani used zipo zimelala njee tu, hakuna customers.
Nitajaribu kuulizia, nikipata nitawacha number ya simu hapa, unahitaji automatic washing machine au manual kama za arabuni?
 
Yangu Mm Ndo Nzuri Nunua DSTV Na AZAM TV Anza Kuonyesha Mipira Hela Yako Itakupatia Faida Zaidi Ya Ile Uliyotumia
 
Hili ni jukwaa la biashara na uchumi si jokes, mwenzako anapoandika anahitaji kufahamu na si mizaha .

Amini nakwambia, popote kwenye mkusanyiko wa watu ujue hawakosi mataahira, wendawazimu na mazumbukuku wa kila aina

Cc KikulachoChako
 
Last edited by a moderator:
Amini nakwambia, popote kwenye mkusanyiko wa watu ujue hawakosi mataahira, wendawazimu na mazumbukuku wa kila aina

Cc KikulachoChako
Nashukuru taahira mwenzangu.....naona mwenzangu kidogo dozi imekufaa mimi mwnzio bado....ndio maana naropoka ropoka.....by the way tutaonana mirembe ukija kumalizia dozi yako....alafu mwalimu ester anakusalilmia sana......NB Kumbuka kumaliza dozi kwa matibabu bora zaidi....
 
178 Retail sale of automotive fuel

KWA AJILI YA BODA BODA NA BAJAJ
MIX NA OIL NA KUTENGENEZA PANCHA MDOGO MDOGO UNAANZA KUTANUA VIJISPEA NK
WEKA VOCHA NA SODA JUICE MAJI
 
Back
Top Bottom