Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
NILIST YENYE VITU LUKUKI msaada anaweza pata wapi sasa wa techs za utengenezaji?Chagua moja kati ya hizi kulingana na mtaji wako
BUSINESS ACTIVITIES IDEAS::::
1.Mining and quarrying of asbestos, mica, quartz, gem stones, abrasives, asphalt and bitumen, other non-metallic minerals, n.e.c.
2 Slaughtering, preparing and preserving meat, including sausage, edible animal
3 Processing of inedible oils and fats.
4 Canning, preserving and processing of fish, crustacean and similar foods (except soups).
5 Production of fish meal.
NILIST YENYE VITU LUKUKI msaada anaweza pata wapi sasa wa techs za utengenezaji?
Inakuwa ngumu kutoa ushauri wa kukufaa kwamba biashara gani inakufaa wakati hatujui utaiendesha mwenyewe au kumwajiri mtu, na eneo la biashara hali kadhalika kama una sehemu unayomikili kuendeshea biashara au unahitaji kupanga frame, maana kuna biashara kama utaajiri mutu ujue kuna uwezekano wa kukutana na big risk vinginevyo wa familia yako kama mke, mtoto wako, la sivyo ndugu wengie bahati nasibu kupata mwaminifu.
Kama ni kuiendesha wewe mwenyewe zipo nyingi sana zinazolipa kama:
- Kuuza vocha za simu za jumla
- Mradi wa chips mayai/mishkaki, ugali samaki, wali nyama nk kama una eneo zuri hulipa ile mbaya.
- Biashara ya zana na vifaa vya ujenzi maeneo kunakojengwa zaidi kama mabati, sementi, mbao, paints, nk hivyo haviozi kama nyanya.
- Ukiwa na uhakika kupata dereva wa uhakika bonaboda itakurudishia gharama within 6 month.
- Kufanya ubia vijana wawili au watatu mnaoaminiana kuwa na hisa kwa kununua daladala.
- Na mengine mengi tu.
wanajamvini napenda wajulia afya mwaendeleaji mu wazma? lengo naombeni ushauri kutoka kwenu Mimi Nina million mbili nipo dar es salaam ni biashara gani naweza anzisha na nkapata faida kwa kiasi hiki cha pesa. nawalisirsha
ndugu kama unaweza nisaidia kujua bei ya mashine za kufulia zanzibar , au hata kama una mawasiliano na wanaouza hizo mashine naomba unisaidieNenda zanzibar, kanunue tv,daki,dvd,home cinema system electronic stuff,peleka mikoani huko,milioni mbili hio itazaa ndani ya miezi 6 kama m5 hivi au zaidi halafu utafikiria biashara nyengine, lakini tafuta wenyeji dar pale bandarini ili kuweza kukwepa usumbufu na kulanguliwa pesa
Nenda zanzibar, kanunue tv,daki,dvd,home cinema system electronic stuff,peleka mikoani huko,milioni mbili hio itazaa ndani ya miezi 6 kama m5 hivi au zaidi halafu utafikiria biashara nyengine, lakini tafuta wenyeji dar pale bandarini ili kuweza kukwepa usumbufu na kulanguliwa pesa
nauliza kwanin zanzibar vitu bei chee?
ndugu kama unaweza nisaidia kujua bei ya mashine za kufulia zanzibar , au hata kama una mawasiliano na wanaouza hizo mashine naomba unisaidie
Hili ni jukwaa la biashara na uchumi si jokes, mwenzako anapoandika anahitaji kufahamu na si mizaha .
Nashukuru taahira mwenzangu.....naona mwenzangu kidogo dozi imekufaa mimi mwnzio bado....ndio maana naropoka ropoka.....by the way tutaonana mirembe ukija kumalizia dozi yako....alafu mwalimu ester anakusalilmia sana......NB Kumbuka kumaliza dozi kwa matibabu bora zaidi....Amini nakwambia, popote kwenye mkusanyiko wa watu ujue hawakosi mataahira, wendawazimu na mazumbukuku wa kila aina
Cc KikulachoChako