Nina mtaji wa Milion mbili tu, Nifanye biashara gani?

Inaonyesha orodha ndeefu ila wengine ndio hatuielewi hiyo lugha ulioiandika !
 
NILIST YENYE VITU LUKUKI msaada anaweza pata wapi sasa wa techs za utengenezaji?
 
NILIST YENYE VITU LUKUKI msaada anaweza pata wapi sasa wa techs za utengenezaji?

Kuwa mpole na waombe wana JF watakusaidia zaidi,Humu huwa hakishindikani kitu ilimradi mtu una moyo wa kuwa mjasiriamali....!
 

nashukuru sana mkuu ..ngoja niufanyie kazi ushauri Ahsante have a good day
 
wanajamvini napenda wajulia afya mwaendeleaji mu wazma? lengo naombeni ushauri kutoka kwenu Mimi Nina million mbili nipo dar es salaam ni biashara gani naweza anzisha na nkapata faida kwa kiasi hiki cha pesa. nawalisirsha

Nenda zanzibar, kanunue tv,daki,dvd,home cinema system electronic stuff,peleka mikoani huko,milioni mbili hio itazaa ndani ya miezi 6 kama m5 hivi au zaidi halafu utafikiria biashara nyengine, lakini tafuta wenyeji dar pale bandarini ili kuweza kukwepa usumbufu na kulanguliwa pesa
 
ndugu kama unaweza nisaidia kujua bei ya mashine za kufulia zanzibar , au hata kama una mawasiliano na wanaouza hizo mashine naomba unisaidie
 
Jaribu spea za bodaboda mkoani,Unafanya na service ya pikipki hapohapo Kwenye kiduka chako.
 

nauliza kwanin zanzibar vitu bei chee?
 
nauliza kwanin zanzibar vitu bei chee?

Kwa sababu ushuru wa zanzibar Upo lower, hivyo bidhaa ni rahisi. Na ni kutokana zanzibar ni kitovu cha biashara, haina rasilimali kama natural resources, hivyo zanzibar Inategemea import taxes, Ndio maana bidhaa rahisi.
 
ndugu kama unaweza nisaidia kujua bei ya mashine za kufulia zanzibar , au hata kama una mawasiliano na wanaouza hizo mashine naomba unisaidie

Kwa kweli sina, ispokuwa unaweza kupata hivyo vitu kibao vya kumwaga, ushawahi kufika zanzibar? Yaani used zipo zimelala njee tu, hakuna customers.
Nitajaribu kuulizia, nikipata nitawacha number ya simu hapa, unahitaji automatic washing machine au manual kama za arabuni?
 
Yangu Mm Ndo Nzuri Nunua DSTV Na AZAM TV Anza Kuonyesha Mipira Hela Yako Itakupatia Faida Zaidi Ya Ile Uliyotumia
 
Hili ni jukwaa la biashara na uchumi si jokes, mwenzako anapoandika anahitaji kufahamu na si mizaha .



Amini nakwambia, popote kwenye mkusanyiko wa watu ujue hawakosi mataahira, wendawazimu na mazumbukuku wa kila aina

Cc KikulachoChako
 
Last edited by a moderator:
Amini nakwambia, popote kwenye mkusanyiko wa watu ujue hawakosi mataahira, wendawazimu na mazumbukuku wa kila aina

Cc KikulachoChako
Nashukuru taahira mwenzangu.....naona mwenzangu kidogo dozi imekufaa mimi mwnzio bado....ndio maana naropoka ropoka.....by the way tutaonana mirembe ukija kumalizia dozi yako....alafu mwalimu ester anakusalilmia sana......NB Kumbuka kumaliza dozi kwa matibabu bora zaidi....
 
178 Retail sale of automotive fuel

KWA AJILI YA BODA BODA NA BAJAJ
MIX NA OIL NA KUTENGENEZA PANCHA MDOGO MDOGO UNAANZA KUTANUA VIJISPEA NK
WEKA VOCHA NA SODA JUICE MAJI
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…