Nina mtaji wa milioni 1.5 nataka kufungua biashara hii, wazoefu nahitaji mawazo yenu

Unapatikana wapi mkuu nataka tuyajenge
 
Utapiga hela mpaka ushangae mkuu kama kweli mzunguko upo. Kila la heri. Naona kila bidhaa unaingiza zaidi ya nusu ya bei uliyonunulia.


Ila mkuu alibaba ni cheap zaidi hususani kama unachukua piece kuanzia 100 kwa kila bidhaa.
 
Nashukru kwa mawazo yako bila shaka ni mzoefu Wa hii biashara
 
Utapiga hela mpaka ushangae mkuu kama kweli mzunguko upo. Kila la heri. Naona kila bidhaa unaingiza zaidi ya nusu ya bei uliyonunulia.


Ila mkuu alibaba ni cheap zaidi hususani kama unachukua piece kuanzia 100 kwa kila bidhaa.
Ali baba kweli nzuri ishu ipo kwenye malipo sjawai lakin naona kuna risk flani tofaut na ali express
 
Huo mtaji Wa kimachinga ni wangu Mimi na ndio nnapo anzia binafsi nimeamua kuchukua through Ali express sio kwamba sijui kama dar ipo nafahamu ata hao Wa dar nao wanatoa uko uko alibaba amazon n.k
Alafu mtaji wangu ni 1.5 ndio uwezo wangu sasa nitajilazimishaje niwe na M 10 pasipo uwezo kuruhusu bado ujanivunja moyo mkuu labda uje na lingine.
Alafu watanzania wengi kuagiza kwa namna hii awawezi na wengine waoga wachache wanajua.
 
K
Kweli Posta si rahisi juzi kuna jamaa kuchukua mzigo Mkubwa Posta nikamuuliza vipi tra akasema ajalipa zaidi ya makato madogo ya Posta basi
 
Wadau mim napatikana dsm wapi naeza pata haya mazaga kwa bei chee hvo
 
Ukitaka upige fresh hiyo biashara basi fanya mambo haya...
-Tafuta fremu karibu na maeneo ya vyuoni (Maana hizo ndio bidhaa muhimu za wanachuo wakipata boom na wana tabia ya kuigana)
-Mbali na kuweka hizo bidhaa za flash, Memory card, Charger za simu weka pia huduma ya M-Pesa/Tigo pesa/Airtel money, Photocopy na printing katika cheaper price.
-Akiagiza mzigo mkubwa/Jumla wa bidhaa kwa mara moja(Hii itapunguza gharama na utakuwa na bidhaa za kutosha wakati wowote).

Tatizo ni huo mtaji wako. Pesa ya 1.5milioni ni kidogo sana, otherwise jiongeze kidogo ili ununue boda boda yako upige mwenyewe kisomi (kuwa smart, mwaminifu na reliable) kila siku utalaza mfukoni si chini ya Elfu kumi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…