Nina mtaji wa milioni 1.5 nataka kufungua biashara hii, wazoefu nahitaji mawazo yenu

Mkuu vipi ulifanikiwa
 
mkuu mimi,
Fala kweli wewe. Yani unaweka mpaka na taarifa za mahali unapo chukulia mzigo. Unajua nini maana ya biashara kweli wewe?
 
View attachment 1328813

tusapotiane vjana
vunjabei wa bluetooth earphones

follow me on ig Baraka_gadgets

Haylou gt1 95k tu
Airpods 2 95k tu
Jho A9 90k

Airpods cases silicone 7k tu

hutopata sehem nyingne bei hz wahi mapema


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
mkuu mimi,
Fala kweli wewe. Yani unaweka mpaka na taarifa za mahali unapo chukulia mzigo. Unajua nini maana ya biashara kweli wewe?
Nafikiri ubinafsi aufai wenye uwezo watafanya ivyo aina aja ya kujifungia chumbani ukashba pekee
 
Kwani tatizo liko wapi? Kama ukijua anapochukulia utaweza kujua anapouzia? Hii ni nzuri kwani inawasaidia na wengine kufanya kile anachofanya kwa njia wanaoijua wao.. Tusiwe wa binafsi.
Ubinafsi aufai wenye kuweza Ku copy wacopy nao wafanikiwe Jeff alileta forex wapo waliofanikiwa kupitia iyo ambao awakua wakijua chochote
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…