Nina mtaji wa milioni 2 nifanye biashara gani ili nipate faida?

Nina mtaji wa milioni 2 nifanye biashara gani ili nipate faida?

Ninaomba kwa wenyeji wa Morogoro, nisaidieni biashara ambayo itanisaidia nipate faida, nina mtaji wa 2m, eneo n Morogoro mjini, msaada wenu wenyeji
 
Ninaomba kwa wenyeji wa Morogoro , nisaidieni biashara ambayo itanisaidia nipate faida ,nina mtaji wa 2m , eneo n Morogoro mjini , msaada wenu wenyeji
 
Ninaomba kwa wenyeji wa Morogoro , nisaidieni biashara ambayo itanisaidia nipate faida ,nina mtaji wa 2m , eneo n Morogoro mjini , msaada wenu wenyeji
Kama ni Ke unaweza kufungua:
1. Hair dressing salon (hapa uza rasta na mafuta ya nywele).
2. Duka la urembo & vipodozi.
3. Duka la nguo za wadada (under wear & mavazi mengine).

NB: Sehemu (location/site) ndiyo itakayokuamlia ufanye biashara ya aina gani kati hizo hapo juu au nyingine kabisa. Si Kila sehemu utakayopata itakuwa nzuri kwa aina zote za biashara.
 
Ninaomba kwa wenyeji wa Morogoro, nisaidieni biashara ambayo itanisaidia nipate faida, nina mtaji wa 2m, eneo ni Morogoro Mjini.

Msaada wenu wenyeji
Hebu fuatilia mchele ifakara halafu tufanye biashara Niko Dar
 
Back
Top Bottom