Alvin Slain
JF-Expert Member
- Aug 30, 2011
- 6,375
- 3,663
inatosha hiyo pesa kwa mgahawa?Fungua mgahawa hutojuta.
Hiyo ni nzuri eeh, ni bei gani gunia kwa sasa?Futa mpunga mazao huku polini kwa bei ndogo ulete mjini
Banda la chipsi, vifaa vya simu.Ninaomba kwa wenyeji wa Morogoro, nisaidieni biashara ambayo itanisaidia nipate faida, nina mtaji wa 2m, eneo ni Morogoro mjini, msaada wenu wenyeji.
Kama ni Ke unaweza kufungua:Ninaomba kwa wenyeji wa Morogoro , nisaidieni biashara ambayo itanisaidia nipate faida ,nina mtaji wa 2m , eneo n Morogoro mjini , msaada wenu wenyeji
Si uzunguke Morogoro mjini mwenyewe ufanye research hadi mawazo unataka upate mtandaoni? Hiyo hela umepewa ukafanye biashara au umeipataje?Kwani vp
Hebu fuatilia mchele ifakara halafu tufanye biashara Niko DarNinaomba kwa wenyeji wa Morogoro, nisaidieni biashara ambayo itanisaidia nipate faida, nina mtaji wa 2m, eneo ni Morogoro Mjini.
Msaada wenu wenyeji