Yani hapa nipo na wavuvi nawanunulia mahitaji dah yani sijui kama hela yangu itarudi.
Connection si hiyo tushapewa mkuu.
Ni uongo. Au niseme ni imani potofu. Kama unasema ukweli basi nakuhakikishia kuwa huyo mganga mnayempa fedha anakula fedha bila jasho. Biashara yenu mnaweza kuifanya hata hizo dawa. Mna kipaji cha biashara lkn hamjiamini.Huo ndio ukweli biashara inaendena na waganga mimi nakuambia hivyo kwa uzoefu nimezaliwa katika familia ya wafanyabiashara na mimi nafanya biashara
Unaongea kitu usichokijuaNi uongo. Au niseme ni imani potofu. Kama unasema ukweli basi nakuhakikishia kuwa huyo mganga mnayempa fedha anakula fedha bila jasho. Biashara yenu mnaweza kuifanya hata hizo dawa. Mna kipaji cha biashara lkn hamjiamini.
Dira gani mkuu, ungejua ninayopitia we acha tuu.Bora una dira, mi nipo tu sielewi. Nyie haya maisha acheni tu.
Unaongea kitu usichokijua
Siyo mfanya biashara kwa sasa ijapo niliwahi kufanya biashara miaka ya 2006-8 huko.Vipi hao waganga nao ni matajiri/wana mafanikio?
Au ndiyo mganga anaishi kwenye kijumba cha udongo halafu unamfuata akupe dawa ya biashara.
Walimwengu gani?Siyo mfanya biashara kwa sasa ijapo niliwahi kufanya biashara miaka ya 2006-8 huko.
Nilichokigundua ni vigumu sana kulinda biashara yako isiharibiwe na walimwengu.
Kazi ngumu kwenye utafutaji wa fedha siyo kuitafuta bali ni kuilinda na kuitunza.
Naongea kitu nachokijua. Hakuna dawa, hakuna uchawi kwenye biashara. Ni imani yako tu. Unaweza kupewa hiziri, ukajiamini kwenda kufanya biashara na ukafanikiwa. Kungekuwa na uchawi hakuna mtu angekuwa maskini.Unaongea kitu usichokijua
Nice advice [emoji106]FANYA BIASHARA ILIYOKUPA HIZO MILIONI KUMI.
Case closed!!!
Hapo ni corona ilikuokoa kwa kusababisha vifo vingi we ukahisi ni kazi nzuri ya mganga.Naunga mkono hoja hata mimi biashara yangu ya majeneza kuna kipindi iligoma kabisa mpaka nikawaza nifunge tu nirudie kazi yangu ya zamani (wizi wa mafuta ya transformers)
Lakini kuna mganga nilimpata kipindi hicho alikuwaga ameletwa hapa Dom na kigogo mmoja wa serikali nikatonywa na chawa mmoja wa kigogo huyo nikamtafuta huyo mtaalam tukaelewana akaja kufanya setting hapa ofisini yaani biashara ilikubali mpaka nikaona sasa naelekea kuwa bilionea!
Baadae hali ile ilipungua tena nahisi nilitakiwa kurenew setting ila tatizo nilipotezaga namba za yule mganga halafu yule kigogo naye alishahama hayupo huku ila natamani sana ningepata tena mganga kama yule ningekuwa mbali
Mbona Mashamba yapo na misitu pia yenye rutuba ila watu wanashindia njaa?Naongea kitu nachokijua. Hakuna dawa, hakuna uchawi kwenye biashara. Ni imani yako tu. Unaweza kupewa hiziri, ukajiamini kwenda kufanya biashara na ukafanikiwa. Kungekuwa na uchawi hakuna mtu angekuwa maskini.
Wee jamaa 🤣🤣🤣🤣Naunga mkono hoja hata mimi biashara yangu ya majeneza kuna kipindi iligoma kabisa mpaka nikawaza nifunge tu nirudie kazi yangu ya zamani (wizi wa mafuta ya transformers)
Lakini kuna mganga nilimpata kipindi hicho alikuwaga ameletwa hapa Dom na kigogo mmoja wa serikali nikatonywa na chawa mmoja wa kigogo huyo nikamtafuta huyo mtaalam tukaelewana akaja kufanya setting hapa ofisini yaani biashara ilikubali mpaka nikaona sasa naelekea kuwa bilionea!
Baadae hali ile ilipungua tena nahisi nilitakiwa kurenew setting ila tatizo nilipotezaga namba za yule mganga halafu yule kigogo naye alishahama hayupo huku ila natamani sana ningepata tena mganga kama yule ningekuwa mbali
Kwa sababu ili shamba au msitu ukiletee chakula kuna kufanya kazi kubwa sana inayohitaji muda, mtaji na wakati mwingine unaweza kupata balaa usifanikiwe. Uchawi kwenye biashara siyo hivyo na pengine wewe ni tapeli unayenyemelea watu ajinga uwapige hapa JF.Mbona Mashamba yapo na misitu pia yenye rutuba ila watu wanashindia njaa?
Dogo unafeli mimi siwezi kumtapeli mtu na hapa nipo wazi mimi naitwa Mnachihangu kwa wakazi wa mtwara mjini kwa maeneo ya sokoni hakuna asienijuaKwa sababu ili shamba au msitu ukiletee chakula kuna kufanya kazi kubwa sana inayohitaji muda, mtaji na wakati mwingine unaweza kupata balaa usifanikiwe. Uchawi kwenye biashara siyo hivyo na pengine wewe ni tapeli unayenyemelea watu ajinga uwapige hapa JF.
Kwani kujulikana ndiyo kunazuia mtu asitapeli? Tena kwenye haya mambo ya uganga ndiyo rahisi kweli kweli kwani huwa hakuna kipimo. BTW kama uko huko Mtwara nitakusamehe kwani sehemu nyingine imani za uchawi ni kama utamaduni.Dogo unafeli mimi siwezi kumtapeli mtu na hapa nipo wazi mimi naitwa Mnachihangu kwa wakazi wa mtwara mjini kwa maeneo ya sokoni hakuna asienijua
Hii mkuu wa mkoa asiione. Ila ni moja ya biashara nzuri hakuna mfanoAnzisha danguro, hakikisha mademu wote ni weupe na wana matako makubwa...
crypto.comKwakweli hyo ya miamala naona inasifiwa sana ila bdo sijaimaster vzur jinsi inavyoingiza pesa lbd niipatie ufafanuz
Hapo sawa,, we ndo upo huko au.
Hapana mkuu kipindi cha Corona ndo biashara ilinigomea sana mpaka nikahisi kuchanganyikiwa niliwekeza kama 7m halafu za mkopo nikawa naamini kwamba watu wengi wangekufa ila cha ajabu mambo yakageuka misiba hakuna na akifa mtu eneo hilo ni muislamu duh!Hapo ni corona ilikuokoa kwa kusababisha vifo vingi we ukahisi ni kazi nzuri ya mganga.
Ni sawa na kusema hakuna muuza samadi ambae yy masikini anaeweza fanya shamba lako listawi kumzidi maishaHakuna mganga anayeweza kukupa dawa ya biashara,yeye na familia yake masikini halafu akupe dawa ya biashara!kama anayo si angewapa watoto wake au ndugu zake.
Mnajiongopea tu,ingekuwa hivyo Afrika ingeongoza kwa kuwa na matajiri wengi Duniani.