Nina mtaji wa milioni kumi; nifanye biashara ipi kati ya hizi nilizochagua?

Nina mtaji wa milioni kumi; nifanye biashara ipi kati ya hizi nilizochagua?

Hahahaa nimecheka, ila seriously huwa ata mimi siwaelewi. Huenda hela ni za urithi sasa atakaa kila siku anapewa urithi. Kuna kujitanua ama kubadili kazi kama ulivyo elezea. Humu watu ni wajuaji sana alafu ni bure kabisa.
Hivi watu mnaotoaga majibu kama haya vichwa vyenu mnatumia kama mifuniko ya shingo au?
Kwa hio kama kapata hio 10M kwenye biashara ya mbao, anataka kubadili biashara, au anataka kujitanua ?
Yan mnatoa majibu kama mmekatwa vichwa hivi
 
Mimi ningemtafuta kabisa tuonane ana kwa ana anipangie proposal inayoeleweka mpaka nielewe kabisa ikibidi anipeleke ground nione mambo yalivyo.
Aahh shukrani sanaa mkuu hii itabidi nikufate PM au tubadilishane contacts unipe madini zaidi
 
Hahahaa ndio hivyo baba moto Usha kata, sema nini jitafute tena muda bado upo usikate tamaa. Alafu kuna uzi nimekutag toka jana sijui kwann hujibu. Alafu ni pm namba zako
Hii post ningeiona miaka mitatu nisingejiuliza kuhusu hii biashara.
 
Back
Top Bottom