Ze_Papirii
JF-Expert Member
- Oct 12, 2018
- 558
- 1,117
- Thread starter
- #121
Aaahh sasa vya kazi hvyo au mm ndo sijui[emoji23]Itatosha kununua ka-NOAH au ka-HIACE kakudanganyia wazazi?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Aaahh sasa vya kazi hvyo au mm ndo sijui[emoji23]Itatosha kununua ka-NOAH au ka-HIACE kakudanganyia wazazi?
Nomaaa aiseee,, kwahyo 4 nijitahidi kuanzia ngap1 mpaka 3 naona inafaa kwa mtaji huo. Ila no 4 kwa 10m utafilisika kabla biashara haijaanza.
Wazazi wa kibongo ukitaka uwashike aone mwanae anapanda gari la njano akienda shuleAaahh sasa vya kazi hvyo au mm ndo sijui[emoji23]
Angalau mara 2 ya hiyo. Unajua wajenzi wengi hupenda kununua bidhaa zote kwa wakati mmoja sehemu moja ili kukwepa adha ya usafiri na upakiaji. Sasa akikosa bidhaa moja dukani anaenda sehemu nyingine...Nomaaa aiseee,, kwahyo 4 nijitahidi kuanzia ngap
Sasa nursery ya hvo kwa 10m itabdi nisahauuuWazazi wa kibongo ukitaka uwashike aone mwanae anapanda gari la njano akienda shule
Daaahh madingi wa chuma ulete bdo wapogo tu aiseee[emoji21],, Kwny frame nnekupata hapo japo kuna wateja wanavutiwa pia na uzuri wa eneo hasa wale wanaoamini zaidi ktk bidhaa bora kuliko beiMengine utayakuta mbele ya safari kwa wafanyabiashara wenzako...utaonyeshwa wazee wenye chuma ulete, wakopaj maarufu n.k n.k
Pia usianze kumodify sana frame mpk wateja wakaogopa na kudhani bei zitakua juu...
Fanya biashara uliyo na maarifa +uzoefu nayo otherwise utapoteza kila kitu.Habari ya muda huu wakuu, poleni na majukumu ya kila siku. Mimi kama kijana nimeamua rasmi kujikita kwenye kufanya Biashara maana ndiyo ndoto yangu ya siku nyingi sana.
Binafsi nimepambana hapa na pale nimebahatika kupata mtaji wa Tsh Milioni 10 hivyo nmeamua kujikita rasmi kwenye Biashara na kwa kufikiria nimepata mawazo ya Biashara 4 ambazo binafsi ninazipenda na kuzimudu..
1. BIASHARA YA KUUZA VYOMBO VYA MAJUMBANI
-Hapa nitahusisha uuzaji wa vyombo mbalimbali ambavyo vinatumika kwenye majukumu ya kila siku majumbani kama (Masufuria, Hotpots, Vijiko, Visu, Madeli, Ndoo za maji, Mabeseni, Chupa za Chai, Viti & Meza za plastic, Majaba etc)
2. BIASHARA YA NGUO NA PRODUCTS MBALIMBALI ZA WATOTO(0-3YEARS)
-Hapa itahusisha kuuza products mbalimbali za watoto wachanga hadi miaka mitatu(3) kama vile (Nguo, Nepi, Viatu, Kofia, Neti, Beseni za kuogea, Toys km Vigari & Midoli, Poda & Sabuni za watoto etc)
3. BIASHARA YA BIDHAA MBALIMBALI ZA UREMBO NA VIPODOZI VYA WANAWAKE
-Hapa nitahusisha bidhaa kama(Perfumes, Rasta, Lotions, Poda, Hereni, Lipstics, Cheni, Nguo za ndani,Madela etc)
4. BIASHARA YA VIFAA MBALIMBALI VYA UJENZI WA NYUMBA NA VIFAA VYA ELECTRONICS
Wakuu naombeni USHAURI kwa uzoefu wenu ni Biashara ipi hapo yenye return kubwa na bidhaa zake ni more Liquid (Rahisi kuuzika kwa haraka) na ni sehemu gani naweza kupata hzo bidhaa kwa urahisi na Bei nafuu kwa DAR ES SALAAM na changamoto pia za hyo biashara husika na kama itapendeza Location nzuri ya kufanya hyo biashara kwa DAR.
NINAWASILISHA KWENU WADAU KWA USHAURI.
Hapo nmekupata wacha nizidi kukusanya madiniAngalau mara 2 ya hiyo. Unajua wajenzi wengi hupenda kununua bidhaa zote kwa wakati mmoja sehemu moja ili kukwepa adha ya usafiri na upakiaji. Sasa akikosa bidhaa moja dukani anaenda sehemu nyingine...
Sasa kwa 10M sio rahisi upate vifaa vingi muhimu vya ujenzi...
Mimi ndo kwanza mgeni kwnye biashara mkuuFanya biashara uliyo na maarifa +uzoefu nayo otherwise utapoteza kila kitu.
hii pesa uliipata kwenye biashara au kama imetokana na biashara basi irudishe huko huko usianza biashara nyingine kwa kuweka hela yote utalia kilio kikali sana,,anza taratibu hadi uone inaanza ku click. otherwise irudishe kwenye mzunguko ilivyopatikana if imetoka kwenye biasharaHabari ya muda huu wakuu, poleni na majukumu ya kila siku. Mimi kama kijana nimeamua rasmi kujikita kwenye kufanya Biashara maana ndiyo ndoto yangu ya siku nyingi sana.
Binafsi nimepambana hapa na pale nimebahatika kupata mtaji wa Tsh Milioni 10 hivyo nmeamua kujikita rasmi kwenye Biashara na kwa kufikiria nimepata mawazo ya Biashara 4 ambazo binafsi ninazipenda na kuzimudu..
1. BIASHARA YA KUUZA VYOMBO VYA MAJUMBANI
-Hapa nitahusisha uuzaji wa vyombo mbalimbali ambavyo vinatumika kwenye majukumu ya kila siku majumbani kama (Masufuria, Hotpots, Vijiko, Visu, Madeli, Ndoo za maji, Mabeseni, Chupa za Chai, Viti & Meza za plastic, Majaba etc)
2. BIASHARA YA NGUO NA PRODUCTS MBALIMBALI ZA WATOTO(0-3YEARS)
-Hapa itahusisha kuuza products mbalimbali za watoto wachanga hadi miaka mitatu(3) kama vile (Nguo, Nepi, Viatu, Kofia, Neti, Beseni za kuogea, Toys km Vigari & Midoli, Poda & Sabuni za watoto etc)
3. BIASHARA YA BIDHAA MBALIMBALI ZA UREMBO NA VIPODOZI VYA WANAWAKE
-Hapa nitahusisha bidhaa kama(Perfumes, Rasta, Lotions, Poda, Hereni, Lipstics, Cheni, Nguo za ndani,Madela etc)
4. BIASHARA YA VIFAA MBALIMBALI VYA UJENZI WA NYUMBA NA VIFAA VYA ELECTRONICS
Wakuu naombeni USHAURI kwa uzoefu wenu ni Biashara ipi hapo yenye return kubwa na bidhaa zake ni more Liquid (Rahisi kuuzika kwa haraka) na ni sehemu gani naweza kupata hzo bidhaa kwa urahisi na Bei nafuu kwa DAR ES SALAAM na changamoto pia za hyo biashara husika na kama itapendeza Location nzuri ya kufanya hyo biashara kwa DAR.
NINAWASILISHA KWENU WADAU KWA USHAURI.
Mkuu waganga wapo haswa sehemu za pwani
BIASHARA YA VIFAA MBALIMBALI VYA UJENZI WA NYUMBA na Biashara ya hoteli kuuza chakula hizo ndio Biashara nzuri zitakayo kuletea pesa kwa haraka kuliko biashara nyingine ulizo zitaja. Swali langu umezaliwa tarehe gani na mwezi gani?yaani unajijuwa wewe ni mtu wa nyota gani? ukinijibu swali langu nitakwambia kitu chakufanya kizuri zaidi.Habari ya muda huu wakuu, poleni na majukumu ya kila siku. Mimi kama kijana nimeamua rasmi kujikita kwenye kufanya Biashara maana ndiyo ndoto yangu ya siku nyingi sana.
Binafsi nimepambana hapa na pale nimebahatika kupata mtaji wa Tsh Milioni 10 hivyo nmeamua kujikita rasmi kwenye Biashara na kwa kufikiria nimepata mawazo ya Biashara 4 ambazo binafsi ninazipenda na kuzimudu..
1. BIASHARA YA KUUZA VYOMBO VYA MAJUMBANI
-Hapa nitahusisha uuzaji wa vyombo mbalimbali ambavyo vinatumika kwenye majukumu ya kila siku majumbani kama (Masufuria, Hotpots, Vijiko, Visu, Madeli, Ndoo za maji, Mabeseni, Chupa za Chai, Viti & Meza za plastic, Majaba etc)
2. BIASHARA YA NGUO NA PRODUCTS MBALIMBALI ZA WATOTO(0-3YEARS)
-Hapa itahusisha kuuza products mbalimbali za watoto wachanga hadi miaka mitatu(3) kama vile (Nguo, Nepi, Viatu, Kofia, Neti, Beseni za kuogea, Toys km Vigari & Midoli, Poda & Sabuni za watoto etc)
3. BIASHARA YA BIDHAA MBALIMBALI ZA UREMBO NA VIPODOZI VYA WANAWAKE
-Hapa nitahusisha bidhaa kama(Perfumes, Rasta, Lotions, Poda, Hereni, Lipstics, Cheni, Nguo za ndani,Madela etc)
4. BIASHARA YA VIFAA MBALIMBALI VYA UJENZI WA NYUMBA NA VIFAA VYA ELECTRONICS
Wakuu naombeni USHAURI kwa uzoefu wenu ni Biashara ipi hapo yenye return kubwa na bidhaa zake ni more Liquid (Rahisi kuuzika kwa haraka) na ni sehemu gani naweza kupata hzo bidhaa kwa urahisi na Bei nafuu kwa DAR ES SALAAM na changamoto pia za hyo biashara husika na kama itapendeza Location nzuri ya kufanya hyo biashara kwa DAR.
NINAWASILISHA KWENU WADAU KWA USHAURI.
Yeah 10mln ndogoSasa nursery ya hvo kwa 10m itabdi nisahauuu
Mkuu inahitaji mtaji kama kiasi gani?Ni biashar inayolipa kweli ukiwa sehemu yenye mzunguko mzuri ila changamot yake kubwa ni wezi na matapeli ni wengi mnoo na Wana mbinu tofauti tofaut so ni swala la kunchunga sana... En in addition kwenye hii biashara sometimes pana kuwag na mambo ya chuma ulete nalo pia ni swala la kuwa nalo makini..
Juzi kulikuwa na mtu anashangaa kwa vipi mtu kajenga nyumba kwa muda mfupi kwa biashara ya vyombo ndio nikawa namweleza jinsi inavyolipa.Hapo nmekupata mkuu nahsi kwny uthamani wa vyombo itategemea zaidi na location ntayoipata na aina ya watu wanaopatikana hapo...
Hivi watu mnaotoaga majibu kama haya vichwa vyenu mnatumia kama mifuniko ya shingo au?Hii 10M umeipata kwenye biashara gani? Kwann usiendelee nayo?