MEGATRONE
JF-Expert Member
- Feb 22, 2014
- 1,140
- 2,141
Vipi ushafanya hii biashara karibuni? Kama umefanya feedback ipoje?Hii post ningeiona miaka mitatu nisingejiuliza kuhusu hii biashara.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Vipi ushafanya hii biashara karibuni? Kama umefanya feedback ipoje?Hii post ningeiona miaka mitatu nisingejiuliza kuhusu hii biashara.
Ndio ni njombe hiyo ukifika hapo mwambie bodaboda yeyote akupeleke kwa mzee mseketwa nauli ya bodaboda ni 50000 hadi hukoSi ipo Njombe hyo[emoji848]
Ni njombe hukoSipafahamu mkuu nielekeze basi.
Hivi watu mnaotoaga majibu kama haya vichwa vyenu mnatumia kama mifuniko ya shingo au?
Kwa hio kama kapata hio 10M kwenye biashara ya mbao, anataka kubadili biashara, au anataka kujitanua ?
Yan mnatoa majibu kama mmekatwa vichwa hivi
Aahh shukrani sanaa mkuu hii itabidi nikufate PM au tubadilishane contacts unipe madini zaidi
Hii post ningeiona miaka mitatu nisingejiuliza kuhusu hii biashara.
Ndio ni njombe hiyo ukifika hapo mwambie bodaboda yeyote akupeleke kwa mzee mseketwa nauli ya bodaboda ni 50000 hadi huko
Ndio ni njombe hiyo ukifika hapo mwambie bodaboda yeyote akupeleke kwa mzee mseketwa nauli ya bodaboda ni 50000 hadi huko
Ni mbali kweli50k!!!! Mbona nauli kubwa hivyo ama ni mbali sana?
😅😅😅 kaka haya maisha acha tuuHahahaa ndio hivyo baba moto Usha kata, sema nini jitafute tena muda bado upo usikate tamaa. Alafu kuna uzi nimekutag toka jana sijui kwann hujibu. Alafu ni pm namba zako
Mkuu najaribu nashindwa kwasababu hata meseji hazifunguki sijui kwaniniMkuu ni pm aisee
Nauli ya dar mwanza hiyo mkuu😅😅, sema kwenye utafutaji hiyo ndogo.50k!!!! Mbona nauli kubwa hivyo ama ni mbali sana?
Mkuu najaribu nashindwa kwasababu hata meseji hazifunguki sijui kwanini
Inabidi twende mkuuMkuu ni pm aisee
Nauli ya dar mwanza hiyo mkuu[emoji28][emoji28], sema kwenye utafutaji hiyo ndogo.
PoaIfute sasa nisha ichukua
Inabidi twende mkuu
Yani hapa nipo na wavuvi nawanunulia mahitaji dah yani sijui kama hela yangu itarudi.Hahahaa bado hujatoa ya fundi [emoji23]
Connection si hiyo tushapewa mkuu.Mkuu mimi ningekuwa na konekisheni kitambo sana nisha enda, inshu ni kumpata fundi haswa. Tatizo wengi matapeli, mwisho wa siku anakuwekea na kimavi juu. Haya mambo we acha tu ndugu.