Mnafiki Wa Kujitegemea
JF-Expert Member
- Dec 30, 2022
- 3,751
- 6,337
Software za kuzuia kila aina za hila kwenye biashara yako. Kuna watu wanaweza ifanya isionekane.Unataka kumaanisha nn mkuu naona km una madini hv embu weka sawa tukuelewe
Sijidhalilishi ninachokuambia ni kitu cha kweliMzee acha hzo mkuu unadhaalikisha familia yako Happ kwa kuwaita washirikina. Siyo sawa Hilo
Sema Mmeikuta biashara pamoja urozi/ndumba kwenye biasharaMimi nafanya biashara na kiufupi biashara ndilo jambo tunaloliweza kwenye familia yetu kwasababu tumezaliwa tumeikuta biashara hom na baadae tukawa na biashara zetu
Una muda nayo gani hyo na unafanyia wapi.?Kbsaa mm nimeweka kumi na nne na Bado sioni kitu
Hyo nzurii sema imekaa kimsimu sana hyo,, vp ww unaifanya hyo.?Nunua na kuuza mazao
Mazao siyo ya msimu watu wanahitaji kula muda wote.Hyo nzurii sema imekaa kimsimu sana hyo,, vp ww unaifanya hyo.?
Ukiwa mkubwa utavijua vyote hivyoSema Mmeikuta biashara pamoja urozi/ndumba kwenye biashara
Pamoja sana mkuu wacha niifikilie hii nayo naona we si wa kwzna kunishauriMazao siyo ya msimu watu wanahitaji kula muda wote.
Mtaji wa million 10 ni mkubwa kuutaja ila ni mdogo sana ukifanya kosa, fanya utafiti vizuri biashara gani unaimudu na utaweza kusimamia mwenyewe.
Hii code y ndugu yako nimemjua Daaah jamaa alifilisika kabisa.sema jamaa mpambanaji mnoo kwa Sasa karudi n yuko vzr mnoo. Kuifungua code kidogo uyo jamaa ni mchaga.Fungua hardware inalipa saana ndugu zangu wengi hata sisi wenyeww hardware imetutajirisha ...hio million 10 inatosha kikubwa uwe na connection na suppliers hua wanakopesha sometimes kuhusu mtaji usiogope ukiwa na suppliers wako ukihitaj vitu kama huna ela anakupa then unakuja kumlipa...kikubwa upate location nzurii hio ela inatosha Kwa kuanzia Anza na vile vitu vinavyotoka sana kama cement,mbao,gypsum,misumari,vifaa vinginevyo igawanye Io ela ununue vitu kidogo kidogo sio lazima uanze na vingi Anza na kidogo kadri siku zinavoenda biashara itakua..... achana na mambo ya waganga pesa za kichawi hua hazidumu Zina mwsho wake nna ndugu alikua anafanya biashara Kwa dawa mambo yalienda vizuri haikuchukua muda biashara ikabuma akaanza kuhangaika mganga akamwambia itabidi atoe sadaka ya mtu mke au mtoto ....yule Bwana alishindwa kilichotokea alifilisika vibaya sana to the point nyumba ilitaka kupigwa mnada......yule Bwana ilibidi atubu amrejee Mungu alivofanya ivo biashara ikachipuka upya saiv amekua mlokole biashara imekua Bora zaidi kuliko uko nyuma anaiendesha Kwa nguvu za Mungu na wokovu
Fungua hardware inalipa saana ndugu zangu wengi hata sisi wenyeww hardware imetutajirisha ...hio million 10 inatosha kikubwa uwe na connection na suppliers hua wanakopesha sometimes kuhusu mtaji usiogope ukiwa na suppliers wako ukihitaj vitu kama huna ela anakupa then unakuja kumlipa...kikubwa upate location nzurii hio ela inatosha Kwa kuanzia Anza na vile vitu vinavyotoka sana kama cement,mbao,gypsum,misumari,vifaa vinginevyo igawanye Io ela ununue vitu kidogo kidogo sio lazima uanze na vingi Anza na kidogo kadri siku zinavoenda biashara itakua..... achana na mambo ya waganga pesa za kichawi hua hazidumu Zina mwsho wake nna ndugu alikua anafanya biashara Kwa dawa mambo yalienda vizuri haikuchukua muda biashara ikabuma akaanza kuhangaika mganga akamwambia itabidi atoe sadaka ya mtu mke au mtoto ....yule Bwana alishindwa kilichotokea alifilisika vibaya sana to the point nyumba ilitaka kupigwa mnada......yule Bwana ilibidi atubu amrejee Mungu alivofanya ivo biashara ikachipuka upya saiv amekua mlokole biashara imekua Bora zaidi kuliko uko nyuma anaiendesha Kwa nguvu za Mungu na wokovu
Ndoivyo MkuuHii code y ndugu yako nimemjua Daaah jamaa alifilisika kabisa.sema jamaa mpambanaji mnoo kwa Sasa karudi n yuko vzr mnoo. Kuifungua code kidogo uyo jamaa ni mchaga.
Amelaaniwa mtu yule amtegemeaye mwanadamu amfanyaye mwanadamu kuwa Kinga yakee....ushawahi jiuliza uyo mganga akifa utafanyaje...mganga mwenyew anategemea pumzi ya Mungu Mkuu.
Mkuu waganga wapo haswa sehemu za pwani
Hata kuchukua take home haitakiwi ukae kizembe, naongea from my own experience, tena hata mwezi haujaisha.Mkuu achana nae huyo hajui mambo ya biashara ground yalivyo. Huyo ye ana uhakika mwisho wa mwezi anapokea take home yake bila shida. Biashara haijui kabisa, we andika namba hapa nikutwangie unipe muongozo.
Sijawahi na sitawahiUlishawahi kwenda kwa mganga?
Sasa kama hujaenda inamaana huna uhakika practically na unachokiongea.Sijawahi na sitawahi