Nina mtaji wa milioni kumi; nifanye biashara ipi kati ya hizi nilizochagua?

Software z
Unataka kumaanisha nn mkuu naona km una madini hv embu weka sawa tukuelewe
Software za kuzuia kila aina za hila kwenye biashara yako. Kuna watu wanaweza ifanya isionekane.
Kwa mfano wewe biashara yako ni ya kuuza nguo lkn akija mteja anaona bidhaa zako ni majembe.

Kuuza bidhaa ukichanganya ile fedha uliyopewa na zingine kumbe ni virus,inahamisha fedha zako kwenda ilikotokea hiyo virus.

Unaweza kuta mko wafanya biashara kadhaa ndani ya eneo moja lkn ni biashara yako tu ndio huibiwa,huungua nk.

Kudhibiti na kulinda fedha yako ni kazi kubwa kuliko kuitafuta hiyo fedha.
 
Hzo software znapatikana na wapi na kwann uliamua kuacha kufanya biashara mzee na unajua kuna software.?
 
Hyo nzurii sema imekaa kimsimu sana hyo,, vp ww unaifanya hyo.?
Mazao siyo ya msimu watu wanahitaji kula muda wote.
Mtaji wa million 10 ni mkubwa kuutaja ila ni mdogo sana ukifanya kosa, fanya utafiti vizuri biashara gani unaimudu na utaweza kusimamia mwenyewe.
 
Pamoja sana mkuu wacha niifikilie hii nayo naona we si wa kwzna kunishauri
 
Fungua hardware inalipa saana ndugu zangu wengi hata sisi wenyeww hardware imetutajirisha ...hio million 10 inatosha kikubwa uwe na connection na suppliers hua wanakopesha sometimes kuhusu mtaji usiogope ukiwa na suppliers wako ukihitaj vitu kama huna ela anakupa then unakuja kumlipa...kikubwa upate location nzurii hio ela inatosha Kwa kuanzia Anza na vile vitu vinavyotoka sana kama cement,mbao,gypsum,misumari,vifaa vinginevyo igawanye Io ela ununue vitu kidogo kidogo sio lazima uanze na vingi Anza na kidogo kadri siku zinavoenda biashara itakua..... achana na mambo ya waganga pesa za kichawi hua hazidumu Zina mwsho wake nna ndugu alikua anafanya biashara Kwa dawa mambo yalienda vizuri haikuchukua muda biashara ikabuma akaanza kuhangaika mganga akamwambia itabidi atoe sadaka ya mtu mke au mtoto ....yule Bwana alishindwa kilichotokea alifilisika vibaya sana to the point nyumba ilitaka kupigwa mnada......yule Bwana ilibidi atubu amrejee Mungu alivofanya ivo biashara ikachipuka upya saiv amekua mlokole biashara imekua Bora zaidi kuliko uko nyuma anaiendesha Kwa nguvu za Mungu na wokovu
 
Hii code y ndugu yako nimemjua Daaah jamaa alifilisika kabisa.sema jamaa mpambanaji mnoo kwa Sasa karudi n yuko vzr mnoo. Kuifungua code kidogo uyo jamaa ni mchaga.
 
Amina
Fungua hardware inalipa saana ndugu zangu wengi hata sisi wenyeww hardware imetutajirisha ...hio million 10 inatosha kikubwa uwe na connection na suppliers hua wanakopesha sometimes kuhusu mtaji usiogope ukiwa na suppliers wako ukihitaj vitu kama huna ela anakupa then unakuja kumlipa...kikubwa upate location nzurii hio ela inatosha Kwa kuanzia Anza na vile vitu vinavyotoka sana kama cement,mbao,gypsum,misumari,vifaa vinginevyo igawanye Io ela ununue vitu kidogo kidogo sio lazima uanze na vingi Anza na kidogo kadri siku zinavoenda biashara itakua..... achana na mambo ya waganga pesa za kichawi hua hazidumu Zina mwsho wake nna ndugu alikua anafanya biashara Kwa dawa mambo yalienda vizuri haikuchukua muda biashara ikabuma akaanza kuhangaika mganga akamwambia itabidi atoe sadaka ya mtu mke au mtoto ....yule Bwana alishindwa kilichotokea alifilisika vibaya sana to the point nyumba ilitaka kupigwa mnada......yule Bwana ilibidi atubu amrejee Mungu alivofanya ivo biashara ikachipuka upya saiv amekua mlokole biashara imekua Bora zaidi kuliko uko nyuma anaiendesha Kwa nguvu za Mungu na wokovu
 
Mkuu achana nae huyo hajui mambo ya biashara ground yalivyo. Huyo ye ana uhakika mwisho wa mwezi anapokea take home yake bila shida. Biashara haijui kabisa, we andika namba hapa nikutwangie unipe muongozo.
Hata kuchukua take home haitakiwi ukae kizembe, naongea from my own experience, tena hata mwezi haujaisha.
 
Back
Top Bottom