Mnafiki Wa Kujitegemea
JF-Expert Member
- Dec 30, 2022
- 3,751
- 6,337
Software z
Kwa mfano wewe biashara yako ni ya kuuza nguo lkn akija mteja anaona bidhaa zako ni majembe.
Kuuza bidhaa ukichanganya ile fedha uliyopewa na zingine kumbe ni virus,inahamisha fedha zako kwenda ilikotokea hiyo virus.
Unaweza kuta mko wafanya biashara kadhaa ndani ya eneo moja lkn ni biashara yako tu ndio huibiwa,huungua nk.
Kudhibiti na kulinda fedha yako ni kazi kubwa kuliko kuitafuta hiyo fedha.
Software za kuzuia kila aina za hila kwenye biashara yako. Kuna watu wanaweza ifanya isionekane.Unataka kumaanisha nn mkuu naona km una madini hv embu weka sawa tukuelewe