Nina mtaji wa milioni kumi; nifanye biashara ipi kati ya hizi nilizochagua?

Shukrani sanaa kwa hii elimu kubwa ndugu ntakutafuta kwa maelekezo zaidi[emoji120]
 
Kwani kujulikana ndiyo kunazuia mtu asitapeli? Tena kwenye haya mambo ya uganga ndiyo rahisi kweli kweli kwani huwa hakuna kipimo. BTW kama uko huko Mtwara nitakusamehe kwani sehemu nyingine imani za uchawi ni kama utamaduni.
Unisamehe niliekuzidi kila kitu maishani mbona unachekesha binti?
 
Unisamehe niliekuzidi kila kitu maishani mbona unachekesha binti?
Najua Tanzania mwanamme kumuita mwingine ''binti'' ndiyo tunadhani ni ujanja na akili. FYI mimi nawaheshimu sana wanawake na nawapenda kiasi ambacho ukiniita binti naona ni kama umenipa heshima.
 
Najua Tanzania mwanamme kumuita mwingine ''binti'' ndiyo tunadhani ni ujanja na akili. FYI mimi nawaheshimu sana wanawake na nawapenda kiasi ambacho ukiniita binti naona ni kama umenipa heshima.
Hakuna mahali niliposema mimi ni mjanja na ninyi wanawake mimi nawaheshimu mno kwasababu ndivyo mafundisho ya dini yanavyotutaka tufanye
 
3 au 4 zitakilipa
 
mbona hivi vitu vya kawaida sana labda kama mtu analeta ubishi,biashara za kiafrica 90% zinaongozwa na magic
usione hata hawa matajiri wakubwa wana vitu vyao ,wananunua malori na kuchinja mbuzi kufanya kafara.
kuna mtu alikuwa ananipa story vile watu hutumia hadi misukule kuja dukani kubeba mali.yaanni mfano unauza duka la jumla mtu anakuja na cash anataka katoni kadhaa,ile unatuma vijana kwenda kubeba na yeye anatuma misukule kama ni katoni 20 misukule na wanaongeza 20 wanabeba.
Nenda pale zile frem za jumla mbagala wanauza vitu vya jumla watu wamejipiga password hadi zinaonekana.mtwara huko popo wanahamisha kororsho toka shamba moja kwenda jingine.
 
Sijaelewa hapo "Watu wanajipiga password hadi zinaonekana" znaonekanaje hyo mkuu
 
Hadi mashambani misukule inaenda kuiba.
Km mtu hajawahi fanyia biashara maeneo tofautitofauti ndiye atakaye bisha.
Haya yapo sana mkuu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…