Nina mtaji wa milioni kumi; nifanye biashara ipi kati ya hizi nilizochagua?

Anhaaa pamoja sana kiongozi
 
machimbo take wapi
 
Namba 2 ni best kwako Kwa kuzingatia yafuatayo,mtaji wako si mkubwa,ni biashara yenye uhakika wa mauzo Kila cku na hii itakusaidia kwenye mahitaji,vifaa vya ujenzi yes ni biashara nzuri ila kama huna capital nzuri itakufrastate na usitamani Tena biashara,Anza na simple business Kisha mtaji ukikua wekeza kwenye biashara zinazohitaji mtaji mkubwa
 
Thanks boss,, vp ushawahi ifanya hyo no.2
 
No2. No 3. Hizi ndo za kufanya moja wapo lakini yenye kipao mbele zaidi ni No 3. Pkj
1. Tafuta eneo ambalo ni chipkizi, means eneo ambalo limeanzishwa kukua wilaya ama kijiji. Sababu watu asilimia 90 hawatokuwa wakienda mjini lazima watanunua kwako tu. NB. Bei ya bidhaa iwe sawa na ile ya mjini na hata kama itapanda ipande sio zaidi ya 500. Kwajili ya usafiri no.
2.uwe na pesa ya kadi, TRA, na halimashauli nje na mtaji walau kwa mwaka, then unapoendelea kufanya biashara itakuwa includi taratibu.
3.weka bidhaa zenye mzunguko zinazonunuliwa kwa wingi.
4. Epuka wanawake kama wewe ni mwanaume.
5. Tafuta sehem unapoweza nilunua bidhaa zako kwa jumla ikiwezekana nunua bidhaa tokea kiwandani ili uwe na access ya kuuza kwa jumla ama leje leja.
7. Zingatia mda wa kufungua na kufunga .
8. Lugha ya biashara na uchangamfu kwa wateja.

Asante.
 
Shukrani sana kiongozi somo kubwa sana hili
 
Mim nimezaliwa tarehe 8 mwez WA 11
 
Tupe elimu na mbinu hzo kiongozi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…