Nina mtaji wa milioni kumi; nifanye biashara ipi kati ya hizi nilizochagua?

Ukiwa na Biz premises nzuri unaaminika, but wanachopenda wale watu usiwe kigeugeu, leo unanunua mzigo kwangu kesho unaenda sehemu nyingine.

Au kwangu unakuja ukiwa na shida ya kukopa, ukiwa na Cash unaenda sehem nyingine hapo mtashindwana.
Hapo sawaa nmekumbuka pia kuna jamaa alikua anafanya business flan hvi na wahindi wale wahindi walikua wanambeba sana yule jamaa alikutana na condition km hyo pia wahindi walikua hawataki kabsa kuchanganywachanganywa
 
uza bidhaa za lazima kwa binadamu, chakula au madawa
 
Biashara nyingi zinalipa, mchawi location..
Weka hyo vifaa vya electronics, weka viswaswadu na uwakala (usiache lipa namba)...chajisha na sim...uwe mjanja kuangalia wateja wanataka nin...duka lako sio stoo ujaze mavitu mengi yasiuzika
Tumia kama 8m tu inatosha...
Kata TIN na leseni ya biashara mojawapo na uanze kazi...
Utaangalia wateja weng wapo wap...wakiwa kweny uwakala unaweka nguvu huko...
Tunafanya hivi ili kuweza kupata pesa ya kula daily, umeme, kodi, nauli n.k..tofauti na hapo unaweza kujikuta unakula mtaji wote kwa matumizi binafsi
 
Kwakweli hyo ya miamala naona inasifiwa sana ila bdo sijaimaster vzur jinsi inavyoingiza pesa lbd niipatie ufafanuz mzuri
Ni biashar inayolipa kweli ukiwa sehemu yenye mzunguko mzuri ila changamot yake kubwa ni wezi na matapeli ni wengi mnoo na Wana mbinu tofauti tofaut so ni swala la kunchunga sana... En in addition kwenye hii biashara sometimes pana kuwag na mambo ya chuma ulete nalo pia ni swala la kuwa nalo makini..
 
Nashukuru sana nimenote vitu viwili hapo..
1.Location[emoji871]
2.Duka lako siyo store ujaze vitu vingi visiuzike[emoji871]
 
Hapo kwny matapeli ndo balaa na panahitaji utulivu kweli kumaster mbinu zao wanazotumia,, Labda wataalamu waje waelezee ni mbinu ipi hasa Matapeli wanatumia hapa..
 
1 mpaka 3 naona inafaa kwa mtaji huo. Ila no 4 kwa 10m utafilisika kabla biashara haijaanza.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…