King_mwanamalundi
JF-Expert Member
- Mar 27, 2019
- 373
- 558
Sio tu kutolewa, nadaiwa zaidi ya 24m mzee na sina pa kuipata. In short nimepakimbia mjini kwa mudaKwahyo washakutoa kwny hyo nafasi ama[emoji23]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sio tu kutolewa, nadaiwa zaidi ya 24m mzee na sina pa kuipata. In short nimepakimbia mjini kwa mudaKwahyo washakutoa kwny hyo nafasi ama[emoji23]
Mpe connection bhasi mtoa uzi aingize 8m kwa mwezi.Wewe shangaa ila wenzako wanapiga zaidi ya hizo...tatizo wabongo ujuaji ni mwingi mno na ndio chanzo kikubwa cha umaskini. Kujifanya unajua wakati hujui.
Kama siyo rahisi kwako usidhani kwa wengine pia yatakuwa ni magumu. Kaa na ujifunze kwa wale wenye pesa ili nawe upate kujua njia za kuipata pesa.Mpe connection bhasi mtoa uzi aingize 8m kwa mwezi.
Maisha sio rahisi hivyo mzee.
Sijui niseme unachekesha au unasikitisha.Kama siyo rahisi kwako usidhani kwa wengine pia yatakuwa ni magumu. Kaa na ujifunze kwa wale wenye pesa ili nawe upate kujua njia za kuipata pesa.
Amini kile unachotaka kuamini! Sikushikii vibokoSijui niseme unachekesha au unasikitisha.
Boss,10m haikupi faida ya 4m achilia mbali 8m.
Labda kama tumeamua kutaniana hapa.
Kupitia biashara gani tena hii mzeeKwa wiki mtaji wa 10M unaweza kukuzalishia 1.5M-2M kama faida
Daaah mjini kuna mengi aiseee,,, sasa hao wanaokudai ndo unataka kuwatoa vichwa amaSio tu kutolewa, nadaiwa zaidi ya 24m mzee na sina pa kuipata. In short nimepakimbia mjini kwa muda
Sasa mzee si utuelekeze znapatikana kupitia bizness ipi mbona nadharia nyngAmini kile unachotaka kuamini! Sikushikii viboko
Yeyote atakaesoma kwenye rada kama chanzo cha hayo yote, ndiyo mlengwa mkuu, bahati nzuri nawafahamu baadhiDaaah mjini kuna mengi aiseee,,, sasa hao wanaokudai ndo unataka kuwatoa vichwa ama
Aahh sawa mzeee usikubali kuwa mnyongeYeyote atakaesoma kwenye rada kama chanzo cha hayo yote, ndiyo mlengwa mkuu, bahati nzuri nawafahamu baadhi
Hyo kwa Dar unaeza ukatoboa aiseee maana....Fungua mgahawa halafu waambie watu kuwa Juice na vitafunwa vya hapo mgahawani kwako vinaongeza shepu kwa wanawake na nguvu za kiume kwa wanaume.
Hahahah wew ulichezewa mchezo wa kitapeli na wahuni,Chief, mimi nilikuwa mwajiriwa wa company moja ya mauzo apa mjini, nafasi niliyokuwepo ilikuwa inamezewa mate na watu wengi mno.
Fitina nyingi aisee, nilipigiwa simu mpaka na waganga, wananiambia wanafuatwa na watu wafanye mpango ning'olewe kazini.
Nimekuja kustuka sina hamu na kazi plus uvivu uvivu, sijakaa sawa nikalizwa mamilioni ya pesa aisee.
Haya mambo we acha tu
Kwa week? Biashara gani? Si kila mtu angekuwa tajiri auKwa wiki mtaji wa 10M unaweza kukuzalishia 1.5M-2M kama faida
Shukrani kwa maoni,, niende na ipi hapo sasa.?Namba nne achana nayo kwa milioni kumi itakutesa sana
Khaaaa wewe ndio uache kufatilia comment za watuAisee hii comment mfike mahali muachane nayo, kama huna cha kushauli soma tu uende zako.
Naona hadi sahv hajatoa majibu bado[emoji23]Kwa week? Biashara gani? Si kila mtu angekuwa tajiri au
Boss fuata oder hii utapo fanya maamuzi ...Shukrani kwa maoni,, niende na ipi hapo sasa.?