Nina mtaji wa milioni kumi; nifanye biashara ipi kati ya hizi nilizochagua?

In
Sijui niseme unachekesha au unasikitisha.

Boss,10m haikupi faida ya 4m achilia mbali 8m.

Labda kama tumeamua kutaniana hapa.
Inawezekana mkuu, usibishe
Vp kama anatrade Forex na stock indices
Hiyo million 10 Ni karibu Dolla 4000
Sasa Kwa capital ya dollar akitafuta return ya 2.5% ambayo Ni Dolla 100 ,Kwa mwezi anaweza kupata Dolla 2000
Hivi vitu vipo mkuu, zinaitwa smart skills
 
Kuna bi mkubwa mstaafu Serikalini ameanzisha day care yake ya kihali ya chini, kutokana na muitiko wa ile idea yake pale mtaani kwa sasa ana uhakika wa kupata watoto 40 hadi 50 kwa siku, then hapo kila mtoto kwa siku anaenda na elfu 1 ya chakula na mwisho wa mwezi elfu 30 kama ada, bibi anakula pension yake kiurahisi mno
Safi kabisa
 
In

Inawezekana mkuu, usibishe
Vp kama anatrade Forex na stock indices
Hiyo million 10 Ni karibu Dolla 4000
Sasa Kwa capital ya dollar akitafuta return ya 2.5% ambayo Ni Dolla 100 ,Kwa mwezi anaweza kupata Dolla 2000
Hivi vitu vipo mkuu, zinaitwa smart skills
Mkuu hzo mambo za forex ni risk sana halafu hyo 2.5% return unayoongelea inaeza isiwe consistent hzo mambo za forex znaeza kukupa return hadi ya -100% ukabaki unatoa macho tu..
 
Ndio mkuu Ni very risk
Nilikua nampinga huyo aliekua anabisha kua huwezi pata million 4 Kwa mwezi Kwa kutumia million 10
Halafu Hakuna biashara yenye consistent income , haijawahi na haitowahi kutokea duniani
 
Si kila mmoja akipata milioni kadhaa ni lazima awe ameipata kwenye biashara zake. Wengine ni hela walizo zipata kutokana mirathi, wakati mwingine kupewa tu kama mtaji, pengine ni save yake pindi ameajiriwa sasa anataka kuingia kwenye masuala ya biashara ama anahitaji kujipanua katika biashara zingine. Ndio maana ya kuomba ushauri
Utanishukuru baada ya kitambo kidogo, business ina kitu kinaitwa godwill kuipata hii mpaka uanze kutengeneza faida.....! [emoji3]
 
In

Inawezekana mkuu, usibishe
Vp kama anatrade Forex na stock indices
Hiyo million 10 Ni karibu Dolla 4000
Sasa Kwa capital ya dollar akitafuta return ya 2.5% ambayo Ni Dolla 100 ,Kwa mwezi anaweza kupata Dolla 2000
Hivi vitu vipo mkuu, zinaitwa smart skills
Forex au sio
 
Mike natafuta wa kunishika mkono 15 million nipate kumfikia investor wangu Dubai na kurudi inarudishwa pesa within 6 months njoo tuyajenge WhatsApp +255755846814
 
Ndio mkuu Ni very risk
Nilikua nampinga huyo aliekua anabisha kua huwezi pata million 4 Kwa mwezi Kwa kutumia million 10
Halafu Hakuna biashara yenye consistent income , haijawahi na haitowahi kutokea duniani
Yaaa hilo suala la consistency income ni gumu sanaa kwny biashara
 
Habari ya muda huu wakuu, poleni na majukumu ya kila siku. Mimi kama kijana nimeamua rasmi kujikita kwenye kufanya Biashara maana ndiyo ndoto yangu ya siku nyingi sana.

Binafsi nimepambana hapa na pale nimebahatika kupata mtaji wa Tsh Milioni 10 hivyo nmeamua kujikita rasmi kwenye Biashara na kwa kufikiria nimepata mawazo ya Biashara 4 ambazo binafsi ninazipenda na kuzimudu..

1. BIASHARA YA KUUZA VYOMBO VYA MAJUMBANI
-Hapa nitahusisha uuzaji wa vyombo mbalimbali ambavyo vinatumika kwenye majukumu ya kila siku majumbani kama (Masufuria, Hotpots, Vijiko, Visu, Madeli, Ndoo za maji, Mabeseni, Chupa za Chai, Viti & Meza za plastic, Majaba etc)

2. BIASHARA YA NGUO NA PRODUCTS MBALIMBALI ZA WATOTO(0-3YEARS)
-Hapa itahusisha kuuza products mbalimbali za watoto wachanga hadi miaka mitatu(3) kama vile (Nguo, Nepi, Viatu, Kofia, Neti, Beseni za kuogea, Toys km Vigari & Midoli, Poda & Sabuni za watoto etc)

3. BIASHARA YA BIDHAA MBALIMBALI ZA UREMBO NA VIPODOZI VYA WANAWAKE
-Hapa nitahusisha bidhaa kama(Perfumes, Rasta, Lotions, Poda, Hereni, Lipstics, Cheni, Nguo za ndani,Madela etc)

4. BIASHARA YA VIFAA MBALIMBALI VYA UJENZI WA NYUMBA NA VIFAA VYA ELECTRONICS
Wakuu naombeni USHAURI kwa uzoefu wenu ni Biashara ipi hapo yenye return kubwa na bidhaa zake ni more Liquid (Rahisi kuuzika kwa haraka) na ni sehemu gani naweza kupata hzo bidhaa kwa urahisi na Bei nafuu kwa DAR ES SALAAM na changamoto pia za hyo biashara husika na kama itapendeza Location nzuri ya kufanya hyo biashara kwa DAR.

NINAWASILISHA KWENU WADAU KWA USHAURI.
Mkuu
Biashara ya vyombo vya nyumbani ina faida nzuri ya mpaka 45% ila changamoto yake ni mzunguko
Kwahiyo hapo lazima uzingatie sana location Mf. Eneo ambalo lina hostel za wanachuo, au kambi ya jeshi au eneo lenye mwingiliano mkubwa wa watu wanao enda na kutoka majumbani mwao

Vile vile inategemea utakuwa umewalenga watu wa aina gani kwahiyo aina ya vyombo utaleta kutokana na aina ya wateja wako kama ni changanyikeni vyombo plastic vinatoka zaidi kuliko glass na udongo ila kama ni ushuan glass na udongo ndio zinatoka zaidi

Uzuri wa duka la vyombo unaweza kuweka bidhaa zingine kama fane, mafagio, kapeti, mito, Net, stand za mikoba na viatu, mapazia N.k unaweza kuwa unaongeza aina za bidhaa kulingana na uhitaji wa wateja wako.
Karibu vyomboni.
 
Shukrani sana boss ntakutafuta kwa maelezo zaidi
 
Namsubili aliyetoa comment,, we tuliaaa na utu uzma wako
hirizi jamaa kaninginiza kama cheni,nadhani ile shati yake hakuweza kufunga vizuri kifungo cha mwisho ikawa inaonekana,mimi nilistuka maana hyo siku nilikuwa nafanya manunuzi yangu kwa ajili ya famili ,lakini nikajikuta nanuna mara carton sabuni za kuogea,kufulia in short niliacha pesa kwa jamaa bila kuwa na malengo.kufika nyumbani naanza kujiuliza kwa nini nimenunua dozeni nzima wakati sikuwa na uhitaji huo.
 
Daahh hyo ni nomaa aiseee hapo inaonekana watu wengi wanaacha sana pesa kizembee
 
Habari ya muda huu wakuu, poleni na majukumu ya kila siku. Mimi kama kijana nimeamua rasmi kujikita kwenye kufanya Biashara maana ndiyo ndoto yangu ya siku nyingi sana.

Binafsi nimepambana hapa na pale nimebahatika kupata mtaji wa Tsh Milioni 10 hivyo nmeamua kujikita rasmi kwenye Biashara na kwa kufikiria nimepata mawazo ya Biashara 4 ambazo binafsi ninazipenda na kuzimudu..

1. BIASHARA YA KUUZA VYOMBO VYA MAJUMBANI
-Hapa nitahusisha uuzaji wa vyombo mbalimbali ambavyo vinatumika kwenye majukumu ya kila siku majumbani kama (Masufuria, Hotpots, Vijiko, Visu, Madeli, Ndoo za maji, Mabeseni, Chupa za Chai, Viti & Meza za plastic, Majaba etc)

2. BIASHARA YA NGUO NA PRODUCTS MBALIMBALI ZA WATOTO(0-3YEARS)
-Hapa itahusisha kuuza products mbalimbali za watoto wachanga hadi miaka mitatu(3) kama vile (Nguo, Nepi, Viatu, Kofia, Neti, Beseni za kuogea, Toys km Vigari & Midoli, Poda & Sabuni za watoto etc)

3. BIASHARA YA BIDHAA MBALIMBALI ZA UREMBO NA VIPODOZI VYA WANAWAKE
-Hapa nitahusisha bidhaa kama(Perfumes, Rasta, Lotions, Poda, Hereni, Lipstics, Cheni, Nguo za ndani,Madela etc)

4. BIASHARA YA VIFAA MBALIMBALI VYA UJENZI WA NYUMBA NA VIFAA VYA ELECTRONICS
Wakuu naombeni USHAURI kwa uzoefu wenu ni Biashara ipi hapo yenye return kubwa na bidhaa zake ni more Liquid (Rahisi kuuzika kwa haraka) na ni sehemu gani naweza kupata hzo bidhaa kwa urahisi na Bei nafuu kwa DAR ES SALAAM na changamoto pia za hyo biashara husika na kama itapendeza Location nzuri ya kufanya hyo biashara kwa DAR.

NINAWASILISHA KWENU WADAU KWA USHAURI.
Ingawa hujaipendekeza, biashara ya chakula inalipa sana. Maana kula hakuna option Mkuu. Ila tafuta sehemu yenye mzunguko mkubwa wa watu. Vilevile, unaweza kuspecialize kwa kuuza product fulani tu e.g supu ya kuku wa kienyeji, nyama choma ya kuku wa kienyeji etc.
 
Back
Top Bottom