Nina mtaji wa sh. 60,000 nifanye biashara gani kwa Iringa?

Upo iringa sehem gani mtoa mada kama hujafungamana na dini sogeaga had pale vbanda vya ccm kuna mishe za kumenya viaz make sure unakuwa mwaminifu wahehe n watu wakarim sana..utapata tu mchongo amin ila usiwe na papara jichanganye hasa ..nikutakie kila la heri
 
Nipo Tosa mkuu.

Vipi kuhusu kufungamana na dini? Kivipi yaani? Fafanua kdg mkuu.
 
Shalom,

Hatimaye nimefika Iringa baada ya kuamua kuondoka nyumbani na bado sijapata kazi wakuu. Ninachoshukuru kwa sasa angalau nimepata hifadhi japo sina uhakika kama ni ya kudumu.

Pamoja na hayo, nina akiba yangu ya pesa kama Tsh. 60,000/= ambayo nimeona ni vyema niiwekeze katika biashara huku nikiendelea kutafuta namna sahihi ya kujikwamua.

Nahitaji mawazo yenu wakuu, nifanye kitu gani kwa hicho kiasi cha pesa kwa hapa Iringa mjini?

Awali ya yote, SHUKURANI!
Nenda maeneo ya Makanyagio mkabaka na chuo cha mkwawa tafuta mtu anayeuza chips. Muombe uuze mapande ya nyama. Nyama bei ya kilo maeneo ya Mtwivila mwezi uliopita ilikuwa elfu 6 kilo. Chukua stek tu kata mapande kisha choma uyauze kwa wanaoenda kula ugali au chips hasa wanachuo maana kule hamnaga kuku broiler.

Au nunua karai 10,000 na jiko la kuni 10,000. Nenda Mtwivila maeneo ya magic site nunua samaki wanauzaga kwa kilo. Kaanga kisha uza. Au peleleza wale wanaokaanga pale makanyagio wanatoa chimbo gani samaki. Mmoja alokaangwa wanauzaga 500 hadi 1500. Ni wale samaki wanaovuliwa kule Mtera.

Mtaji ukiwa mkubwa utakuwa unawafuata mwenyewe bwawani hasa ukipata kibari.

Ninauzoefu na maeneo tajwa hayo japokuwa locations zipo nyingi za kufungua Biashara. Utanipa mrejesho itakavyokuwa. Nitumie ujumbe inbox (p.m) kwa utakalohitaji kushauriwa
 
Dah...Anza na biashara ya mishkaki ya bei rahisi mkuu[emoji2960]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nenda maeneo ya Makanyagio mkabaka na chuo cha mkwawa tafuta mtu anayeuza chips. Muombe uuze mapande ya nyama. Nyama bei ya kilo maeneo ya Mtwivila mwezi uliopita ilikuwa elfu 6 kilo. Chukua stek tu kata mapande kisha choma uyauze kwa wanaoenda kula ugali au chips hasa wanachuo maana kule hamnaga kuku broiler.

Au nunua karai 10,000 na jiko la kuni 10,000. Nenda Mtwivila maeneo ya magic site nunua samaki wanauzaga kwa kilo. Kaanga kisha uza. Au peleleza wale wanaokaanga pale makanyagio wanatoa chimbo gani samaki. Mmoja alokaangwa wanauzaga 500 hadi 1500. Ni wale samaki wanaovuliwa kule Mtera.

Mtaji ukiwa mkubwa utakuwa unawafuata mwenyewe bwawani hasa ukipata kibari.

Ninauzoefu na maeneo tajwa hayo japokuwa locations zipo nyingi za kufungua Biashara. Utanipa mrejesho itakavyokuwa. Nitumie ujumbe inbox (p.m) kwa utakalohitaji kushauriwa
Asante kwa maoni na ushauri mkuu. Nitakutafuta pale itakapohitajika.
 
Mkuu wekeza kwenye maarifa. Nunua vitabu au download au nenda mafunzoni. Jifunze sana utapata idea nyingi sana hadi zingine for free kabisa.
 
jifunze kukaanga mihogo na viazi mashuleni au mtaani...mtaani unaongeza na broiler wa elfu 6 unamkata vipande hata vya elfu 12......

chagua nguo nzuri za elfu 3 tembeza....

nunua matunda menya uza....
 
Shukuran sana mkuu, naendelea kukusanya maoni yenu.
 
Kivipi mkuu?

Mafunzo yapi kwa mfano?

Kama zipi mkuu?
Mkuu nakushauri jua ni nini unataka kwanza pasipo kuangalia mtaji ulio nao. Jua nini unapenda, jua ni nini unafanya hata kama umechoka na bado unakuwa na furaha. Jua ni nini unapenda sana hata kama hutolipwa bado utafanya.

Hapa hata ukipata mawazo yakiisha kukwamua baadae utaacha tu utarudi kwenye kile unachotaka. Sasa anza na unachotaka moja kwa moja.

Maana mawazo ni mengi sana, na taarifa ni nyingi sana. Milizi mingi humpoteza mmbwa.
 
Kufanya kitu ninachopenda mim bado ni changamoto kubwa sana hasa ukichukulia kwa mtu kama mim ambaye nategemea niizalishe hiyo pesa.

Naweza nikafanya kitu ambacho hakiendani na uhitaji wa eneo husika nililopo.

Anyway, thanks kwa maoni mkuu!
 
Sawa mkuu. Kw
Kufanya kitu ninachopenda mim bado ni changamoto kubwa sana hasa ukichukulia kwa mtu kama mim ambaye nategemea niizalishe hiyo pesa.

Naweza nikafanya kitu ambacho hakiendani na uhitaji wa eneo husika nililopo.

Anyway, thanks

Mkuu kwa uzoefu wangu. Biashara yoyote inachukua miezi zaidi ya sita kujifunza. Ikidumu mwaka sio kwamba umepata faida, walau unakuwa umeijua.
Hivyo naona sii vyema kuanza na wazo jipya unapokuwa umepata mtaji, japo inawezekana lakini kuna hizo gharama za kujifunza utazilipa. Ila kama unafanya kitu ambacho umebobea unakua tayari umeshajua mengi na hivyo utaweza kuimudu.
 
Back
Top Bottom