RO7 ZA MGOS
JF-Expert Member
- Sep 27, 2016
- 2,018
- 5,752
Nipo Tosa mkuu.Upo iringa sehem gani mtoa mada kama hujafungamana na dini sogeaga had pale vbanda vya ccm kuna mishe za kumenya viaz make sure unakuwa mwaminifu wahehe n watu wakarim sana..utapata tu mchongo amin ila usiwe na papara jichanganye hasa ..nikutakie kila la heri
Nenda maeneo ya Makanyagio mkabaka na chuo cha mkwawa tafuta mtu anayeuza chips. Muombe uuze mapande ya nyama. Nyama bei ya kilo maeneo ya Mtwivila mwezi uliopita ilikuwa elfu 6 kilo. Chukua stek tu kata mapande kisha choma uyauze kwa wanaoenda kula ugali au chips hasa wanachuo maana kule hamnaga kuku broiler.Shalom,
Hatimaye nimefika Iringa baada ya kuamua kuondoka nyumbani na bado sijapata kazi wakuu. Ninachoshukuru kwa sasa angalau nimepata hifadhi japo sina uhakika kama ni ya kudumu.
Pamoja na hayo, nina akiba yangu ya pesa kama Tsh. 60,000/= ambayo nimeona ni vyema niiwekeze katika biashara huku nikiendelea kutafuta namna sahihi ya kujikwamua.
Nahitaji mawazo yenu wakuu, nifanye kitu gani kwa hicho kiasi cha pesa kwa hapa Iringa mjini?
Awali ya yote, SHUKURANI!
Ni uwanja wa kitimoto eneo hilooNipo Tosa mkuu.
Vipi kuhusu kufungamana na dini? Kivipi yaani? Fafanua kdg mkuu.
Dah...Anza na biashara ya mishkaki ya bei rahisi mkuu[emoji2960]Shalom,
Hatimaye nimefika Iringa baada ya kuamua kuondoka nyumbani na bado sijapata kazi wakuu. Ninachoshukuru kwa sasa angalau nimepata hifadhi japo sina uhakika kama ni ya kudumu.
Pamoja na hayo, nina akiba yangu ya pesa kama Tsh. 60,000/= ambayo nimeona ni vyema niiwekeze katika biashara huku nikiendelea kutafuta namna sahihi ya kujikwamua.
Nahitaji mawazo yenu wakuu, nifanye kitu gani kwa hicho kiasi cha pesa kwa hapa Iringa mjini?
Awali ya yote, SHUKURANI!
Asante kwa maoni na ushauri mkuu. Nitakutafuta pale itakapohitajika.Nenda maeneo ya Makanyagio mkabaka na chuo cha mkwawa tafuta mtu anayeuza chips. Muombe uuze mapande ya nyama. Nyama bei ya kilo maeneo ya Mtwivila mwezi uliopita ilikuwa elfu 6 kilo. Chukua stek tu kata mapande kisha choma uyauze kwa wanaoenda kula ugali au chips hasa wanachuo maana kule hamnaga kuku broiler.
Au nunua karai 10,000 na jiko la kuni 10,000. Nenda Mtwivila maeneo ya magic site nunua samaki wanauzaga kwa kilo. Kaanga kisha uza. Au peleleza wale wanaokaanga pale makanyagio wanatoa chimbo gani samaki. Mmoja alokaangwa wanauzaga 500 hadi 1500. Ni wale samaki wanaovuliwa kule Mtera.
Mtaji ukiwa mkubwa utakuwa unawafuata mwenyewe bwawani hasa ukipata kibari.
Ninauzoefu na maeneo tajwa hayo japokuwa locations zipo nyingi za kufungua Biashara. Utanipa mrejesho itakavyokuwa. Nitumie ujumbe inbox (p.m) kwa utakalohitaji kushauriwa
Thanks mkuu
Asante kwa maoni mkuuShuka mitumbani kadake nguo za jerojero na bukubuku za alfu30 kisha katembeze kokote
Pamoja mkuuNi uwanja wa kitimoto eneo hiloo
Kivipi mkuu?Mkuu wekeza kwenye maarifa.
Mafunzo yapi kwa mfano?Nunua vitabu au download au nenda mafunzoni.
Kama zipi mkuu?Jifunze sana utapata idea nyingi sana hadi zingine for free kabisa.
Shukuran sana mkuu, naendelea kukusanya maoni yenu.jifunze kukaanga mihogo na viazi mashuleni au mtaani...mtaani unaongeza na broiler wa elfu 6 unamkata vipande hata vya elfu 12......
chagua nguo nzuri za elfu 3 tembeza....
nunua matunda menya uza....
Mkuu nakushauri jua ni nini unataka kwanza pasipo kuangalia mtaji ulio nao. Jua nini unapenda, jua ni nini unafanya hata kama umechoka na bado unakuwa na furaha. Jua ni nini unapenda sana hata kama hutolipwa bado utafanya.Kivipi mkuu?
Mafunzo yapi kwa mfano?
Kama zipi mkuu?
Kufanya kitu ninachopenda mim bado ni changamoto kubwa sana hasa ukichukulia kwa mtu kama mim ambaye nategemea niizalishe hiyo pesa.Mkuu nakushauri jua ni nini unataka kwanza pasipo kuangalia mtaji ulio nao. Jua nini unapenda, jua ni nini unafanya hata kama umechoka na bado unakuwa na furaha. Jua ni nini unapenda sana hata kama hutolipwa bado utafanya.
Hapa hata ukipata mawazo yakiisha kukwamua baadae utaacha tu utarudi kwenye kile unachotaka. Sasa anza na unachotaka moja kwa moja.
Maana mawazo ni mengi sana, na taarifa ni nyingi sana. Milizi mingi humpoteza mmbwa.
Utakachotaka kufanya na mm ntakuongezea kiasi! Mfano jiko kununua!Asante kwa maoni na ushauri mkuu. Nitakutafuta pale itakapohitajika.
Tate wewe kivuruge! Nimecheka tuPambana kamanda! Elfu 60 kubwa sana hiyo!! Hata yule Moo wa simba alianzia kwenye kuuza tu uji wa lishe barabarani! 🥵
Ila leo hii wafuasi wa simba wanakaribia kabisa kumgeuza kuwa mungu wao, kwa sababu tu ya mkwanja alio nao!
Nitashukuru sana mkuu.Utakachotaka kufanya na mm ntakuongezea kiasi! Mfano jiko kununua!
Kufanya kitu ninachopenda mim bado ni changamoto kubwa sana hasa ukichukulia kwa mtu kama mim ambaye nategemea niizalishe hiyo pesa.
Naweza nikafanya kitu ambacho hakiendani na uhitaji wa eneo husika nililopo.
Anyway, thanks