Gemini Are Forever
JF-Expert Member
- Sep 10, 2019
- 1,508
- 2,619
- Thread starter
-
- #41
Asante kwa maoni mkuu, tupo pamoja na BARIKIWA!Sawa mkuu. Kw
Mkuu kwa uzoefu wangu. Biashara yoyote inachukua miezi zaidi ya sita kujifunza. Ikidumu mwaka sio kwamba umepata faida, walau unakuwa umeijua.
Hivyo naona sii vyema kuanza na wazo jipya unapokuwa umepata mtaji, japo inawezekana lakini kuna hizo gharama za kujifunza utazilipa. Ila kama unafanya kitu ambacho umebobea unakua tayari umeshajua mengi na hivyo utaweza kuimudu.
Kazi kwanza mkuu, kulala baadae!Tafuta chumba Cha giza uwe kwako Kwanza.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mbona mnalazimisha makazi ya kudumu kwa mwanaume mwenzio utakuwa na nia mbaya na marinda ya mdoa mada mkuu [emoji2042]
Upo iringa sehem gani mtoa mada kama hujafungamana na dini sogeaga had pale vbanda vya ccm kuna mishe za kumenya viaz make sure unakuwa mwaminifu wahehe n watu wakarim sana..utapata tu mchongo amin ila usiwe na papara jichanganye hasa ..nikutakie kila la heri
Nishauri tu mkuu naendelea kukusanyaOngeza kidogo angalau 200000 nikushauri .
Mkuu na ww hukumsoma toka mwanzo? Aliondoka hom na 80..sasa hiyo nyinhine aongezeje? Labda mpige tafu then umshauri...Ongeza kidogo angalau 200000 nikushauri .
Hv hao wanaomenya viazi kwa siku wanalipwa shilingi ngap mkuu?Amtafute mtu anaefanya biashara ya chips ampe kazi , akae pale ajifunze na akusanye kamshahara kake taratibu na awe mvumilivu.
Asante kwa maoni mkuu, tupo pamoja!Angalia sehemu yenye watu wengi kipato cha kawaida , kama huna kabati azima, anza na biashara ya chips, mdogomdogo na uwe na nidhamu ya pesa.