Nina mtaji wa sh million 6 ambayo mpaka sasa sijajua exactly ni biashara gani nifanye

Fungua account usitoe hela kwa miezi Sita huku unajipatia percent ya faida wakati huo huo endelea kufikiria wazo la biashara.....
 
Tumia M3 kuvuta boda mbili. Au bajaji Moja.

Tumia M1 kusoge karibu na maeneo ya vyuoni tafuta frem, vuta mtumba (viatu au nguo au vyote) flani stereo (wa wadada) panga

Tumia M 2 kununua nafaka. Uza reja reja.
Bajaji m7 mkuu pesa yake haitatosha labda anunue used kwa mti
 
1: Lima mananasi Kiwangwa.
Nitakupa maelekezo mwanzo mwisho.

2: Uza Mifuko mbadala wa Plastiki ninayo stock ya kutosha.
 
Nunua Kiwanja kihifadhi tuu au kama unacho jenga nyumba ya kupangisha bado tunahitaji nyumba za kupanga.

Ni ngumu sana kuendesha Biashara huku umeajiriwa otherwise uache Kazi jiajiri. Vinginevyo ukubali kula Na mfanyakazi
Milioni sita inunue kiwanja, ijenge,
 
Dah huwa nasikitikaga sana mtu anapesa nying afu amekosa chakufanya kwel mung akup vyote, mwingne kanyimwa pesa lkn anamawazo kibao, vitu vya kufanya viko ving lkn cha kwanza lazm naww uwe na mda ili uweze kufanikiwa au umpate mtu mwaminifu sana atake weza kukusaidia ktk hilo,
 

Aina 50 ya ONLINE BUSINESSES Platforms Unazoweza Anzisha TZ na Uka-Dominate Soko
 
fungua mpesa na bank wakala ..ni rahisi kusimamia coz transaction zote zinakuwa na statement.Au fungua salun ya kiume unaweka mtu mnaelewana kiasi atakachokupa kwa wiki afu gharama zingine zote zinakua zake(kama wanavyofanya daladala)
OPTION YA SALON YA KIUME NI NZURI,

ILA NIKIKUMBUKA WALICHONIFANYIA VINYOZI MWAKA JUZI-
SINA HAMU KWA SASA,

LABDA BAADA'E KIDOGO!!!
 
Tumia M3 kuvuta boda mbili. Au bajaji Moja.

Tumia M1 kusoge karibu na maeneo ya vyuoni tafuta frem, vuta mtumba (viatu au nguo au vyote) flani stereo (wa wadada) panga

Tumia M 2 kununua nafaka. Uza reja reja.
OPTION YA KWANZA HIYO ATALIA SOON.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…