mbu wa dengue
JF-Expert Member
- Jun 2, 2014
- 8,860
- 11,554
Ni kweli mkuu mtu unayemwachia akifanya uzembe kidogo tu anapoteza laki 5 kwa mara moja.Katika biashara ambayo Inahitaji usimamizi na uwepo wa karibu basi ni hiyo miamala..
Asidanganyike akatia hela zote huko, uaminifu kwenye pesa ni mdogo hata ukipata mwaminifu bado kuna changamoto ya matapeli!