Nina mtaji wa sh million 6 ambayo mpaka sasa sijajua exactly ni biashara gani nifanye

HAYA MADINI UMEKOPI KWANGU HAYA!!!
 
WENGINE WANAVUMILIA TU MAKAZINI ILI KUKUSANYA MTAJI,
ILA HAWAIPENDI KAZI!!!
 
Do what you know and like...

Badala ya kuwauzia wanachuo wauzie wafanyakazi wenzako..., na sababu tayari una contact za wateja wa nguo hata ukifungua kibanda, au online shop instagram au whatsapp unaweza ukawauzia, tatu sababu wewe ndio unanunua bidhaa na unajua stock, kuibiwa sio rahisi
 
Kama unahitaji biashara ambayo hutaibiwa tafuta sehemu ufungue uwakala wa tigo pesa na mpesa na huduma ya max malipo, ukipata sehemu nzuri yenye mzunguko unasubr commission yako nzuri tu mwisho wa mwezi.
SAAAAAFI KABISA,
SAAAAAFI!!!

TUOMBE MATAPELI NA WEZI WAKAE MBALI!!!
 
WENGINE WANAVUMILIA TU MAKAZINI ILI KUKUSANYA MTAJI,
ILA HAWAIPENDI KAZI!!!
% kubwa ya wafanyakazi hawazipendi kazi zao kweli kabisa
Ila kujipinda haswa ili ukusanye na kuanza hata biashara ndogo au kufikia malengo yako
 
Ukiona umekosa kabisa biashara ya kufanya fungua huu uzi hapa chini, unaweza ukaambulia mawili matatu.

 
Unavyoandika ni kama vile unaelewa jamaa yuko mkoa gani, na mkoa mzima ofisi ya GEPF ni moja.
 
Upo dar es salaam sehem gan labda
 
Mara nyingi ukizishika mkononi idea za BiASHARA zinayeyuka, hasa Kama hyo fedha Ni fixed, NA sabb Ni kuwa unajaribu KUPATA the best idea in terms of: faida, usalama wa mtaji, nk, unachanganua idea nyiiiingi Hadi unasahau ulikoanzia!
 
Tumia M3 kuvuta boda mbili. Au bajaji Moja.

Tumia M1 kusoge karibu na maeneo ya vyuoni tafuta frem, vuta mtumba (viatu au nguo au vyote) flani stereo (wa wadada) panga

Tumia M 2 kununua nafaka. Uza reja reja.
Bodaboda/Bajaj inafaa tu Kama ataendesha mwenyewe.. otherwise atalia
 
Mimi naona uchunguze kwanza aina tofauti ya biashara ndo uanze
 
Kama unahitaji biashara ambayo hutaibiwa tafuta sehemu ufungue uwakala wa tigo pesa na mpesa na huduma ya max malipo, ukipata sehemu nzuri yenye mzunguko unasubr commission yako nzuri tu mwisho wa mwezi.
Katika biashara ambayo Inahitaji usimamizi na uwepo wa karibu basi ni hiyo miamala..
Asidanganyike akatia hela zote huko, uaminifu kwenye pesa ni mdogo hata ukipata mwaminifu bado kuna changamoto ya matapeli!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…