Nina mtaji wa Tsh. 200 Milioni, ninataka kuwekeza katika biashara ya mbao kule Mafinga

Haya ndio mambo ya kushauriana sasa safi sana mdau.
 
Una milioni 200 tu, unataka kuwa unaishi kwenye mji wa upper middle class na uwe unatumia usafri wa ndege kwenda huko.

Hii biashara hautaiweza Mkuu. Ukiwa unafanya hizi biashara za kawaida zenyewe ndo zinakupangia wape pa kuishi na kulala.
 
No brother. I am 100% honest. 200M kwa sekta ya ujenzi ni jambo la kawaida tu. Niko hapa kupokea mawaidha kutoka kwa Internet friends kisha niende kwa ground with a good understanding of where to start.
Nashukuru kwa hoja.
Kila la kheri mkuu ila kama ni genuinely
Basi all the best [emoji106]
Lakini utalipa hela ndefu kama muwekezaji hapo
Utahitaji mwananchi wa kukusaidia
 
Nakushauri tafuta biashara nyingine ufanye. Au uendelee na biashara hyo hyo unayofanya
 
Una milioni 200 tu, unataka kuwa unaishi kwenye mji wa upper middle class na uwe unatumia usafri wa ndege kwenda huko.

Hii biashara hautaiweza Mkuu. Ukiwa unafanya hizi biashara za kawaida zenyewe ndo zinakupangia wape pa kuishi na kulala.
Haha...I think you have the wrong impression..nina uzoefu wa kibiashara za kikawaida niko very hands-on ...ninataka mji upper-middle class kwa sababu ya amenities kama secure parking, access to good roads na security nikiwacha gari hapo ibaki safe. Usafiri wa ndege ni very convenient and fast kwa sababu Tanzania is one massive country na speed limit za 50km/hr saa zingine hazitupendezi sisi wakenya.
Tanzania is a very huge country utachoka sana kuendesha gari.
 
200000000 dah aisee siku nikizipata hizi kwanza nanunua gari ambalo juu liko wazi.pili nanunua nyumba tatu naweka fixed account nabaki na million 20 tu za biashara ya kunipa wese route za singida dodoma dar masasi songea mtwara ...ni full unyama
🤣🤣🤣
 
Njoo inbox nikushauri tufanye biashara nzuri na inafaida kubwa mno mkuu
 
Huko kuna madalali na matapeli kweli kweli,chukua tahadhari pindi utakapo amua kupelekea huko
 
Sijaona muwekezaji hapa!.........hata hajui anachokitafuta....

Mfanyabiashara makini mwenye lengo mahsusi, hasa hufika eneo husika kufanya research physically.....

kuwekeza kiasi cha fedha kama hichi kunahitaji umakini,

Milioni mia2 mzee sio makalio! Hayo......! kwamba KILA mtu anayo....!
 
Mkuu, kuwa na heshima. Lengo ni kufika Mafinga physically lakini hata hivyo, the first step is to start collecting sentiments ile uwe na context ukienda ground.
Teknologia imebadilisha mambo.

Ila ninakubali kila mtu ana njia zake na hii mimi mara nyingi imenifaa.
 
Ooo yes.... pia nakutahadhalisha hao wanao jifanya kuku PM kuwa nao makini wana weza kua ni matapeli wakubwa, kama ni ushauri watoe hapa hapa hadharani,,, hili jukwaa ni la uwazi na ukweli wanavyo kuita chamber wana taka wakulaghai hao.

Kaa kijanja mzee kuna watu ni zaidi ya mashetani.
 
200000000 dah aisee siku nikizipata hizi kwanza nanunua gari ambalo juu liko wazi.pili nanunua nyumba tatu naweka fixed account nabaki na million 20 tu za biashara ya kunipa wese route za singida dodoma dar masasi songea mtwara ...ni full unyama
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Sio tu mashetani,ila mashetani mafisi😄
 
Uwanja wa ndege upo Iringa mjini njia ya kuelekea Dodoma. Unaitwa uwanja wa ndege wa Nduli. Na kwa sasa uko katika matengenezo ya kutanuliwa, ili uweze kupokea ndege kubwa.
 
200000000 dah aisee siku nikizipata hizi kwanza nanunua gari ambalo juu liko wazi.pili nanunua nyumba tatu naweka fixed account nabaki na million 20 tu za biashara ya kunipa wese route za singida dodoma dar masasi songea mtwara ...ni full unyama
Kwa mahesabu yako mil200 ni pesa ndogo sana! Ukikua utaelewa! Mil10 tu yenyewe kwa sasa haina kazi
 
Una milioni 200 tu, unataka kuwa unaishi kwenye mji wa upper middle class na uwe unatumia usafri wa ndege kwenda huko.

Hii biashara hautaiweza Mkuu. Ukiwa unafanya hizi biashara za kawaida zenyewe ndo zinakupangia wape pa kuishi na kulala.
Pia mkumbusheni kwenye usafirishaji wa mbao atakuwa anamwaga pesa kwenye kila barrier anayosimamishwa na wazee.
Ndio maana ukipiga hesabu kwa umakini kabisa utakuja kugundua hiyo pesa ni ndogo.
Ni pesa nyingi for local Business not for International Business.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…