Nina mtaji wa Tsh. 200 Milioni, ninataka kuwekeza katika biashara ya mbao kule Mafinga

Nina mtaji wa Tsh. 200 Milioni, ninataka kuwekeza katika biashara ya mbao kule Mafinga

Ingia ground ufanye research yako mwenyewe ukiweza hata piga camp mwezi mzima ukifuatilia na kujua facts zote kuhusu hiyo biashara ya mbao na Mafinga kwa ujumla, ukianza business never ever take a short cut , fungua kampuni na fuata sheria zote inavyotakiwa lasivyo wabongo watakugeuza fursa na utaondoka kurudi kenya bila hata senti tano huku ukitukana matusi non stop
Asante sana kwa kumsaidia. Kwa kujazia hapo asikimbilie kuanza kununua miti na kuchana mbao mwenyewe itakula kwake. Cha msingi akishajua process yote afanye kumunia mbao zilizo tayari Bwenyenye254 fuata huu ushauri was Matawi ya juu tofauti na hapo utalia.
 
Una milioni 200 tu, unataka kuwa unaishi kwenye mji wa upper middle class na uwe unatumia usafri wa ndege kwenda huko.

Hii biashara hautaiweza Mkuu. Ukiwa unafanya hizi biashara za kawaida zenyewe ndo zinakupangia wape pa kuishi na kulala.
Na hapo ndipo atakapo poteza. Hizi kaxi Zina hitaji uwe ground bila hivyo utalia
 
Tuliza wenge! Natumia Mitsubishi double cabin L 200 Spotero!! Nikijivuruga sana Makambako Mbeya ni 1 and half hours,pale ni 182kms!! Sasa Mbeya mafinga unajua ni kms ngapi? I doubt ni sehemu ambazo huzijui au unapitaga tu
Nimeendesha sana IT Dar-Tunduma, malawi pia, miaka ya nyuma. Yaani hakuna sehemu siijui kwenye njia ya Dar, mbeya, zambia.

mwendo wa kutoka mafinga,makambako, igawa, sijui chimala uyole songwe Airport mzee wangu ni saa 1 na nusu tu, umesha fika.

njia ni nyeupe sana hiyo ukitumia masaa ma nne umependa mwenyewe tu, na kama hapo una tumia ma saa 4 ukiwndesha dar kwenye mifoleni mfano salenda mpaka bunju kwa uendeshaji wako una weza kutumia siku nzima wewe.

jokes kidogo [emoji23][emoji23][emoji23][emoji117]
 
Pia mkumbusheni kwenye usafirishaji wa mbao atakuwa anamwaga pesa kwenye kila barrier anayosimamishwa na wazee.
Ndio maana ukipiga hesabu kwa umakini kabisa utakuja kugundua hiyo pesa ni ndogo.
Ni pesa nyingi for local Business not for International Business.
Atamwaga pesa kwenye barriers kama atachanganya na magumashi.

Magumashi kwenye boashara za mbao ni very risk kama huna uziefu. Anaweza kupoteza pesa zote ndani ya sekunde
 
Labda anatumia Dala dala, muulize kwanza kabla hujapinga[emoji23][emoji23]
Aiseee ana jidai ana tumianga mitsubish pickup L 200 huenda gari imekwisha choka yeye anataka kulinganisha na hizi gari za sasa zinazo jiongeza speed kadri unavyo kanyaga [emoji117][emoji23]
 
Nimeendesha sana IT Dar-Tunduma, malawi pia miaka ya nyuma huko, yaani hakuna sehemu siijui kwenye njia ya Dar, mbeya, zambia.

mwendo wa kutoka mafinga,makambako, igawa, sijui chimala uyole songwe Airport mzee wangu ni saa 1 na nusu tu, umesha fika.

njia ni nyeupe sana hiyo ukitumia masaa ma nne umependa mwenyewe tu, na kama hapo una tumia ma saa 4 ukiwndesha dar kwenye mifoleni mfano salenda mpaka bunju kwa uendeshaji wako una weza kutumia siku nzima wewe.

jokes kidogo [emoji23][emoji23][emoji23][emoji117]
Daah mkuu ww unapenda ligi kuanzia mtandaoni mpaka barabarani! Sehemu ya zaidi ya 270kms unatumia saa na nusu? Au hauna family? Pamoja mkuu😀😀
 
Daah mkuu ww unapenda ligi kuanzia mtandaoni mpaka barabarani! Sehemu ya zaidi ya 270kms unatumia saa na nusu? Au hauna family? Pamoja mkuu[emoji3][emoji3]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nachangamsha genge mkuu wala sipendi ligi na mtu, kuwa na wakati mwema mkuu.
 
Bwenyenye254 vipi kuhusu soko la hard wood huko NBO? Bei zake ziko je?
Gani haswa? Mahogany
6 × 2 Ksh. 300- Ksh.350 per square foot
6×1 Ksh. 180-200.
12×2 Ksh. 600 /sq. Foot

1 Ksh. = ~Tsh. 19 / Tsh. 20
Soko ni Kubwa unaweza kuipata kule Industrial Area na Gikomba.

Pale Mafinga kuna Cypress pia besides Pine?
 
Fundi ujenzi na biashara za uvunaji miti wapi na wapi. Hii inatakiwa mtu aliewagi kufanya hiyo biashara kutoka huko.
Mafundi ujenzi wanatengeneza mapaa ya nyumba kuna kununua mbao kujuana na wauzaji lazima watakua na dondoo mbili tatu
 
Back
Top Bottom