Nimeendesha sana IT Dar-Tunduma, malawi pia miaka ya nyuma huko, yaani hakuna sehemu siijui kwenye njia ya Dar, mbeya, zambia.
mwendo wa kutoka mafinga,makambako, igawa, sijui chimala uyole songwe Airport mzee wangu ni saa 1 na nusu tu, umesha fika.
njia ni nyeupe sana hiyo ukitumia masaa ma nne umependa mwenyewe tu, na kama hapo una tumia ma saa 4 ukiwndesha dar kwenye mifoleni mfano salenda mpaka bunju kwa uendeshaji wako una weza kutumia siku nzima wewe.
jokes kidogo [emoji23][emoji23][emoji23][emoji117]