Huo ushauri wa kutembelea minada ni muhimu sanaNg'ombe wa kupeleka pugu hawezi kununuliwa laki tatu, hata laki nane ni kubahatisha sana.
Cha kwanza ajitahidi kutembelea soko la Pugu kwa minada mfululizo hata kumi. Kisha akatembelee minada ya mikoani atakapokuwa anawatoa hao ng'ombe
Huko ndio ataenda kupigwa vizuri na madalaliIla nenda pugu kule ndo utapata Kila kituu
Mwambie aje Kanda ya ziwa, hiyo hela inatosha sanakuna nyuzi humu imeongelea hiyo biashara ngoja nikuitie wakali wa hizi kazi Elungata Sirdirashy
Kanitisha sana aiseeSidhani kama ni sahihi Mkuu, ukienda minadani Ng'ombe mmoja huuzwa kati ya shilingi 300,000-800,000 ambapo kwa hela hiyo hakosi ng'ombe 30 na usafiri hadi Dsm.
Ambapo hakosi faida ya shilingi 2,500,000 ambayo sio hela ndogo usawa huu
Hii nayo imekaa vizuri sana nitaifatiliaNunua ng'ombe, peleka machinjioni, uza nyama kwa bei ya jumla
Duh kiaje mkuu?Huko ndio ataenda kupigwa vizuri na madalali
Ipi hiyo mkuu ?natamani nikupe idea moja nzuri sana itakupa faida ya kutosha na ya uhakika sema ngoja ninye chai kwanza
Wanapatikana kwa bei gani mkuu?Mwambie aje Kanda ya ziwa, hiyo hela inatosha sana
Usiingize hela yote kama mtaji sana anzia na 10m ukizidi 15mNawasalim kwa jina la muungano!! ,
Wakuu nina mtaji wa 20m nataka nianze biashara ya ng’ombe kutoka mikoani nakuleta Pugu DSM, naomba kujua ABC za hii biashara na kama inalipa au lah
Nina 38m mkuu 18m nimeweka pembeniUsiingize hela yote kama mtaji sana anzia na 10m ukizidi 15m
Mwisho hakikisha humuamini mtu nenda front mwenyewe
🤣🤣🤣 eehUtalia MOO!!, naomba niishie hapo
Waje wanipe ABCWasukkuma mnaitwa huku
Mwekezaji kaja anawataka uwanjani
na hawa daima huwa ndio wanaofelisha biashara za watu. Tamaa za madalali unaweza jikuta ukahisi una nuksi.Jua namna ya kudili na madalali