Nina mtaji wa Tsh. Milioni 5. Nipo mkoa wa Songwe

Hapo mchani ni hiyo mashine uliyotumia kukoboa.
 
Hapo mchani ni hiyo mashine uliyotumia kukoboa.
ahaa... kwani mbegu huwa hazichangii kwenye hili?

asilimia kubwa waliniambia kwqmba mbegu ndio tatizo... wakashauri niwe makini kweny uchaguzi wa mpunga, ikibidi niwe na mwenyeji anaewajua vzuri wakulima wenzake pamoja na mbegu wanazotumia... ndio nimtumie kukusanya mzigo
 
Nunua guta (bajaji ya mizigo) utapiga hela mpaka uzeeni mwako.
 
Nunua mahindi pakia kwenye fuso gunia 100 @50,000 pakia kwenye fuso tandam zije dodoma, nalipa 7,000,000 faida yako Milioni Moja, usafiri Milioni moja
 
Komaa na hiyo "moja n mbili" utafika mbali
tatizo kwenye hii ninayoifanya mpaka sasa ambayo ni (PASSIVE BUSINESS)... kuna changamoto nyingi sana, na kipato chake ni kidogo ukilinganisha na mtaji uliowekezwa...

hata hivyo nilikua naendelea kuipambania kwasababu bado nipo shule, sina muda wa kutosha kufanya ACTIVE BUSINESS...

Ila kwa sasa naelekea kumaliza chuo(one month ahead) ... thats why nimetoa kiasi hichio kwaajili ya biashara nyingine... lakini simaanishi kwamba ile ya kwanza naiua kabisa... naendelea nayo pia, coz hii ya xamani haihitaji muda wangu mwingi.

Au nakosea wakuu🤔🙄

ushauri wenu ni wa muhimu sana hapa
 
Nunua mahindi pakia kwenye fuso gunia 100 @50,000 pakia kwenye fuso tandam zije dodoma, nalipa 7,000,000 faida yako Milioni Moja, usafiri Milioni moja
Sounds great✌🏾... nashukuru mkuu

ngoja hili niliangalie kwa ukaribu
 
Hela ya boooom umedunduliza olus ku bet , now mambo mazurii
 
Hela ya boooom umedunduliza olus ku bet , now mambo mazurii
 
Hela ya boooom umedunduliza olus ku bet , now mambo mazurii
 
Nunua mahindi pakia kwenye fuso gunia 100 @50,000 pakia kwenye fuso tandam zije dodoma, nalipa 7,000,000 faida yako Milioni Moja, usafiri Milioni moja
Tofauti na mahindi nikuletee nini kingine
 
Kuna mdada naye ilimkuta hii nilimwonea huruma. Aliuza kwa taabu kwa watu aliofahamiana nao coz zilikuwa chenga lakini zinanukia vizuri.

Ngoja mdau aje atueleweshe. Ila Mbeya na Songwe hii mikoa kutoka kimaisha ni rahisi sana hasa kwenye kilimo au biashara ya mazao cha muhimu mtaji na uzoefu wa soko
 
Nunua mahindi pakia kwenye fuso gunia 100 @50,000 pakia kwenye fuso tandam zije dodoma, nalipa 7,000,000 faida yako Milioni Moja, usafiri Milioni moja
Soko lipo la uhakika yaani mzigo unafika na kuuzwa hapohapo? Au inabidi uanze kutafuta wateja. Maana kukaa na kuanza kutafuta wateja ni gharama lazima nayo ipigiwe mahesabu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…